IGP wa Zambia aliwaonya wapinzani kuhusu kuandamana mwaka 2019, leo kiongozi wao ni Rais Mteule

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
155
Reaction score
387
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia.

HII IMEKAAJE SASA

234495404_2856801697903861_952178986591269596_n.jpg
 
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia.
HII IMEKAAJE SASA

View attachment 1895713
usimdharau mtu yoyote. regardless yuko namna gani. hujui kesho yake atakuwa nani
 
Kama alikuwa anatimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria ni sawa kabisa. Kibaya ni kutotenda haki
 
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia.
HII IMEKAAJE SASA

View attachment 1895713
Kama Sirro yaani !
 
Salamu hizi zimfikie afande sirro kokote kule aliko
 
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia.
HII IMEKAAJE SASA

View attachment 1895713
Siro Kama Siro kwenye ubora wake[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom