IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

Huu utopolo sasa!! Yaani unasaidiwa kuapa!! Kwani maana ya kuapa nini? Kiapo ni cha mtu binafsi kama kweli amesaidiwa kuapa basi nj kituko cha karne!
 
Huyu kanikumbusha yule wa bongo chin ya meko, alikua ka mtoto wa vidudu!

Haya mambo bila Mungu kukutetea, kuaibika nje nje!
 
Huyu Kajoba alifukuzwa na Lungu 2015 kwa kuonewa sana akiwa amesimamia haki, leo alikua anatetemeka kwa kutokuamini kuwa kwamba amekua IG wa nchi
Ukipanda wema na kusimamia Haki, hakika utalipwa.
 
afu ni IGP akiwa oficn itakuwaje
iyo SMG akishikaga anakuwaje
 
Sheria/kanuni /taratibu yao ya viapo vya viongozi wa serikali ya Zambia,huenda inaruhusu kusaidiwa kusoma kiapo ilimradi mhusika aweka sahihi kuthibitisha kilichosomwa,lakini Kama sheria/kanuni/taratibu haziruhusu,kiapo hicho ni batili,inabidi kiapo hicho kirudiwe
 
Well said
 

uongozi ni msalaba mzee,kama kiwewe cha uteuzi kinakufanya unashindwa kuapa,vipi utaweza kitoa maamuzi kwenye cheo husika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…