Huu utopolo sasa!! Yaani unasaidiwa kuapa!! Kwani maana ya kuapa nini? Kiapo ni cha mtu binafsi kama kweli amesaidiwa kuapa basi nj kituko cha karne!Hii ndio tofauti ya Hichilema Rais wa Zambia na viongozi wengine wanoko wa kiafrica , hali iliyomkuta IGP wa Zambia iliwahi kumpata mmoja wa Wateule wa hapa Tanzania , sasa badala ya kusaidiwa kuapa Rais wa Tanzania wa wakati ule Dr Magufuli alitengua uteuzi wake bila huruma wala uungwana .
Hii ni tofauti na yaliyotokea huko Zambia leo ambako Rais aliomba wasaidizi wake kumsaidia kuapa IGP mpya aliyekumbwa na kitete wakati wa kuapa .
View attachment 1917153