Salaam,Shalom!!
Kujiuzulu nyadhifa yoyote katika utumishi wa umma,Si lazima utokane na mapungufu binafsi katika ofisi Yako, la hasha, inawezekana kabisa kujiuzulu Kwa makosa ya Walio chini Yako Kwa uwajibikaji wa pamoja,
Mtu anapotea, ndugu wanazunguka vituo vyote vya polisi, polisi wanadai hawajui mtu huyo alipo, ndugu Wanatafuta mortuary zote bila mafanikio, wanaomba msaada kwenye mitandao ya JAMII, kelele zinapigwa, unapita mwezi mzima, ndipo polisi inakiri kuwa imemshikilia mtu huyo.
Sasa ndugu IGP usipojiuzulu na kupisha uchunguzi ya hao wahusika chini Yako Unadhani wananchi watakubali tena kukamatwa na watu wanaojitambuliasha kama askari?
Jiuzulu haraka ndugu IGP, msaidie Mh Rais ajikite na majukumu mengine ipasavyo sio Kila siku teua, tengua, teua tengua, teua tengua teua tengua teua tengua teua tengua,imetosha sasa!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Karibuni 🙏