informer 06
Senior Member
- May 11, 2024
- 184
- 170
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camilius Wambura amesema kuwa kipaumbele chao ni kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa salama katika kipindi cha uchaguzi, ambapo ameeleza kwamba wanahabari wakiwa salama katika kutekeleza majukumu yao jamii nayo inakuwa salama.
Ameongeza kuwa waandishi wa habari wasiwe na shaka juu ya usalama wao katika kutekeleza majukumu yao. Lakini amesisitiza kuwa jukumu hilo sio la Jeshi la Polisi pekee bali ni la wanahabari wenyewe pamoja na wadau wengine ikiwemo wamiliki wa vyombo vya habari.
Hayo ameyasema leo Agost 29, 2025, katika mdahalo wa Kitaifa kuhusu usalama wa waandishi wa Habari kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 ambao umewakutanisha waandishi wa habari na wadau wa vyombo vya habari.