Sijapenda kauli ya ANASINGIZIWA,hata kama anashutuma za kifisadi haikuwa na haja kwa Kikwete kuanza kumsemea kuwa anasingiziwa bali angemuacha mwenyewe ajisemee,tunachotaka watanzania kwa sasa ni kusikia mgombea anasema nini juu ya kuwaletea maendeleo watanzania na si kuanza kujibu mambo ya watu wengine.