Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI
Clip/Video
Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga baada ya swali la Msingi la Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa.
Serikali imeshapata mkandarasi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa ajili ya Kufunga Taa za kuongoza Magari kwenye sehemu Tatu za Igunga Mjini. Mkandarasi ameanza kazi.
Kwa Niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutatua Changamoto kubwa iliyokuwa ikisababisha ajari za mara kwa mara kwenye Barabara Kuu ya Igunga.
#KAZINAMAENDELEO
KAZIIENDELEE