Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,904
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo yalisemwa jana na mkuu wa kitengo cha Tathamini na ufuataliaji wa jeshi hilo Ndugu Isaya Mngulu.
Gazeti la Nipashe, linapasha zaidi kuwa, Mngulu hakutaja matusi hayo, lakini alisema, siku moja baada ya tukio hilo mbunge huyo alienda ktk kituo hicho cha polisi na kuwaomba radhi.
My take,
Huyu Mh Mbunge wa ccm, amejutia makosa yake au ameagizwa kufunika kikombe ili mwanaharamu apite oct 2, 2011?
Tunaangalia kwanza ushemeji wake na JK, hayo ya uwezo wake si muhimu hata kidogo kwa Tanzania.Lazima tukiri kuwa kamanda Mwema uwezo wake umefika mwisho, anatakiwa apatikane mwingine mwenye mawazo mapya
inaruhusiwa kwa wana ccm tu.So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
Ngoja niende kituo cha polisi nikatukane halafu tarehe 4.10 nitawaomba msamaha...
Atapatikana vp? si mpaka Kikwete amteue?Lazima tukiri kuwa kamanda Mwema uwezo wake umefika mwisho, anatakiwa apatikane mwingine mwenye mawazo mapya
Sasa mwema na jamaa si mtu na shemeji lakini dawa yachemka 2015 mbona watacheka.inaruhusiwa kwa wana ccm tu.
Ukitembelea nyumbani kwa mtu halafu ukakuta watoto wake wana tabia mbovu za kila aina basi ujue wazi kuwa hata mzazi au wazazi wao wako hivyohivyo. Upuuzi wa Said Mwema na wengine wote waliokabidhiwa vitengo mbalimbali hapa nchini ni direct reflection ya huyo Vasco aliyewachagua. Huwezi kuwa makini halafu ukateua watu wa hovyo kufanya kazi, ni lazima na wewe uwe hovyo zaidi.Lazima tukiri kuwa kamanda Mwema uwezo wake umefika mwisho, anatakiwa apatikane mwingine mwenye mawazo mapya
Ngoja niende kituo cha polisi nikatukane halafu tarehe 4.10 nitawaomba msamaha...
Lazima tukiri kuwa kamanda Mwema uwezo wake umefika mwisho, anatakiwa apatikane mwingine mwenye mawazo mapya