Elections 2010 Igunga: Mbunge Esther Bulaya [CCM] awaomba radhi polisi

Elections 2010 Igunga: Mbunge Esther Bulaya [CCM] awaomba radhi polisi

Ngoja niende kituo cha polisi nikatukane halafu tarehe 4.10 nitawaomba msamaha...

Mkuu hawatakuachia siyo uende kuwatuna hata. Nenda uwaambie utendaji wao uko chini na wanapendelea Magamba.
 
Ngoja niende kituo cha polisi nikatukane halafu tarehe 4.10 nitawaomba msamaha...

wakati unaenda kuwatukana hakikisha haubebi simu wala pochi, maana lazima uende Kisongo mkuu.
 
kumbe hata ukiua siku hiz ukiomba msamaha police wanakusamehee dah!

Watu wameiba pesa za EPA wamerudisha wamesamehewa wala usitie shaka ndugu ndio Tanzania yetu hii....full kusameheana kata kama umeua mtu.
 
double standard ndio game ya jeshi letu la polisi............ huyu kwa kuomba msamaha tu tayari kakiri kosa na adhabu zipo vitabuni

sijui jeshi linataka liheshimike vipi zaidi ya kumfunga huyu dubu

Halafu kumbuka mwaka jana mgombewa wa CCM kule maswa alimzaba vibao OCD wa Maswa, tukaambia wahayo ni mabo yao binafsi..... Hivi kweli hili jeshi lina-operate this low??????
 
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo yalisemwa jana na mkuu wa kitengo cha Tathamini na ufuataliaji wa jeshi hilo Ndugu Isaya Mngulu.
Gazeti la Nipashe, linapasha zaidi kuwa, Mngulu hakutaja matusi hayo, lakini alisema, siku moja baada ya tukio hilo mbunge huyo alienda ktk kituo hicho cha polisi na kuwaomba radhi.

My take,
Huyu Mh Mbunge wa ccm, amejutia makosa yake au ameagizwa kufunika kikombe ili mwanaharamu apite oct 2, 2011?
Hichi kiperete kinaongozwa na ile kitu yake na ndo imemfikisha hapo alipo. Muda wake utawadia wenge litamuisha.
 
Back
Top Bottom