Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Huwa nafurahi sana Utopolo mkiwa katika hali hii ya gadhabuMakolo bana, kwani mlidhani Yanga watacheza milele bila kufungwa?
Tengenezeni timu lenu bana. Unbeaten ya Yanga kuishia leo, hakuongezi kiwango cha Kibu Denis!
Hali hii tuliyonayo leo, ndio hali ya kila siku ya Makolo!Huwa nafurahi sana Utopolo mkiwa katika hali hii ya gadhabu
Kwahyo hujawaona wachezaji wote mpaka umtaje Kibu?Makolo bana, kwani mlidhani Yanga watacheza milele bila kufungwa?
Tengenezeni timu lenu bana. Unbeaten ya Yanga kuishia leo, hakuongezi kiwango cha Kibu Denis!
Kwanini ukasirike nikimtaja Kibu?Kwahyo hujawaona wachezaji wote mpaka umtaje Kibu?