Ihefu aliyomsaudi Yanga kesho itangazwe mapumziko

Ihefu aliyomsaudi Yanga kesho itangazwe mapumziko

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Sisi watu wa kwenye daladala nilisikia tu mtangazi wa TBC akifokafoka kuwa "haki ya nani haki ya nani ya Mungu si ya Athumani.... yametimiaaa...maweeee...ile record unbearten imebitiwa [emoji3].....,

Sisi mashabiki kiwaviwavi wa bonde la Ihefu tunaomba serikali iIfanywe kesho kama Saudi tu dhidi ya Argentina.
 
TENA IWE HOLIDAY KABISA SISI NDIO TUMECHOMOA MWIKO ULIOWASHINDA WENGI
 
Makolo bana, kwani mlidhani Yanga watacheza milele bila kufungwa?

Tengenezeni timu lenu bana. Unbeaten ya Yanga kuishia leo, hakuongezi kiwango cha Kibu Denis!
 
Makolo bana, kwani mlidhani Yanga watacheza milele bila kufungwa?

Tengenezeni timu lenu bana. Unbeaten ya Yanga kuishia leo, hakuongezi kiwango cha Kibu Denis!
Huwa nafurahi sana Utopolo mkiwa katika hali hii ya gadhabu
 
Kesho iwe mapumziko aisee....ihefu wametuheshimisha sana
 
Makolo bana, kwani mlidhani Yanga watacheza milele bila kufungwa?

Tengenezeni timu lenu bana. Unbeaten ya Yanga kuishia leo, hakuongezi kiwango cha Kibu Denis!
Kwahyo hujawaona wachezaji wote mpaka umtaje Kibu?
 
Back
Top Bottom