bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 672
Uongozi wa timu yetu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mkuu Zuberi Katwila.
Hata hivyo ongozi wa timu unamshukuru Kocha katwila kwa wakati wote aliokua nasi ndani ya timu kama Kocha Mkuu tangu alipojiunga nasi mwaka 2020.
Ihefu Sc inamtakia kila la kheri Kocha Katwila katika maisha yake mapya ya soka na atabaki kuwa Mwanafamilia wa MbogoMaji.
Kwa kuongezea ihefu fc chini ya kocha wao zuberi katwila ndio timu pekee ilioweza kupata ushindi mara mbili dhidi ya mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania yanga sc katika misimu miwili.
Kuna watu watakuwa wamefurahi na kuna watu watakuwa na huzuni.