Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Huyu ni shujaa apewe ulinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je huyu bwana ni mdogo wake aliyekuwa winga hatari wa Mwadui ya Shinyanga enzi hizo Shaban Katwila?Kijana?baba ake q chief . Ana watoto na wajukuu plus vitukuu bado una muita kijana?
Aende Tanzania Prisons, hawana kocha hao.Uongozi wa timu yetu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mkuu Zuberi Katwila.
Hata hivyo ongozi wa timu unamshukuru Kocha katwila kwa wakati wote aliokua nasi ndani ya timu kama Kocha Mkuu tangu alipojiunga nasi mwaka 2020.
Ihefu Sc inamtakia kila la kheri Kocha Katwila katika maisha yake mapya ya soka na atabaki kuwa Mwanafamilia wa MbogoMaji.
Kwa kuongezea ihefu fc chini ya kocha wao zuberi katwila ndio timu pekee ilioweza kupata ushindi mara mbili dhidi ya mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania yanga sc katika misimu miwili.
Kuna watu watakuwa wamefurahi na kuna watu watakuwa na huzuni.View attachment 2781654
Kwamba aende akawasubiri yangaAende Tanzania Prisons, hawana kocha hao.
Majeshi kocha wa maana sana, kila mwaka anapandisha timu na Geita imecheza kimataifa chini yake.Aende Tanzania Prisons, hawana kocha hao.
Ni baba yake mdogo,Kijana?baba ake q chief . Ana watoto na wajukuu plus vitukuu bado una muita kijana?
Baba yake q chief kumbe huyuKijana?baba ake q chief . Ana watoto na wajukuu plus vitukuu bado una muita kijana?
Bila shaka ni baada ya kugundua kocha anaiandaa timu msimu mzima kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wa Haighland Estate. Baada ya hapo timu inachezea vichapo, mpaka inanusurika/inashuka daraja.Uongozi wa timu yetu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mkuu Zuberi Katwila.