Ihefu FC yamtema Kocha wake Zuberi Katwila

Kijana?baba ake q chief . Ana watoto na wajukuu plus vitukuu bado una muita kijana?
Je huyu bwana ni mdogo wake aliyekuwa winga hatari wa Mwadui ya Shinyanga enzi hizo Shaban Katwila?
 
Aende Tanzania Prisons, hawana kocha hao.
 
Bila shaka ni baada ya kugundua kocha anaiandaa timu msimu mzima kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wa Haighland Estate. Baada ya hapo timu inachezea vichapo, mpaka inanusurika/inashuka daraja.

Nadhani wamechukua maamuzi sahihi. Kocha aina hiyo, ni useless kwenye timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…