Ihefu fc

Figisu walizofanyiwa na dodoma fc wameenda kulipiza kwa kuifanyia figisu transit camp

Kwa dua za transit camp hawapiti kwenye knockout
 
Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua
Sasa mkuu mpira si ni dakika 90 na ndani ya muda huo goli linaweza kufungwa dakika yoyote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…