Ihefu fc

Ihefu fc

Ihefu geita gold naomba zipande ni time zamatajiri zina viwanja magari mazuri wachezaji wazuri wataleta ushindani wa kweli wakiaacha mambo ya simba na yanga gwambina siwaoni kama washindani wa kweli dodoma vile vile wamebebwa mpk kufika ligi kuu wanahitaji marekebisho mwakubwa kuwa wapinzani wa kweli mpira unakuwa kwa kasi sana unahitaji uwekezaji kama huu kongore kwao ila bado wanakazi ya kucheza play-off wasibweteke kwa ushindi
 
Geita Gold hawana uwanja
 
Geita Gold ni timu masikini, haina uwanja. Inamilikiwa na Halmashauri ya mji Geita
 
Hongera Ihefu Football Club, nawatakiwa heri ya Mafanikio mpande Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21
 
Back
Top Bottom