Mikito Mikito
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 183
- 1,089
Mkuu mi nilikuwepo uwanjani hiyo siku ninachokizungumza nilikishuhudia KWA macho yangu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Geita Gold hawana uwanjaIhefu geita gold naomba zipande ni time zamatajiri zina viwanja magari mazuri wachezaji wazuri wataleta ushindani wa kweli wakiaacha mambo ya simba na yanga gwambina siwaoni kama washindani wa kweli dodoma vile vile wamebebwa mpk kufika ligi kuu wanahitaji marekebisho mwakubwa kuwa wapinzani wa kweli mpira unakuwa kwa kasi sana unahitaji uwekezaji kama huu kongore kwao ila bado wanakazi ya kucheza play-off wasibweteke kwa ushindi
Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua
Geita Gold ni timu masikini, haina uwanja. Inamilikiwa na Halmashauri ya mji GeitaIhefu geita gold naomba zipande ni time zamatajiri zina viwanja magari mazuri wachezaji wazuri wataleta ushindani wa kweli wakiaacha mambo ya simba na yanga gwambina siwaoni kama washindani wa kweli dodoma vile vile wamebebwa mpk kufika ligi kuu wanahitaji marekebisho mwakubwa kuwa wapinzani wa kweli mpira unakuwa kwa kasi sana unahitaji uwekezaji kama huu kongore kwao ila bado wanakazi ya kucheza play-off wasibweteke kwa ushindi
Nilidhani inamilikiwa na Anko MaguGeita Gold ni timu masikini, haina uwanja. Inamilikiwa na Halmashauri ya mji Geita
Haijafuzu bado inasubir play-offHongera Ihefu Football Club, nawatakiwa heri ya Mafanikio kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21
Waulize Barcelona hopefully utafuta kauliBasi soka la bongo limedevelop yani unapigwa tatu na unageuza matokeo....
Bongo kuna barcelona?Waulize Barcelona hopefully utafuta kauli