Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

kanyembwe

Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
94
Reaction score
223
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
 
Nimefurahi sana niko huku kanda ya ziwa.Vitimu vya kijinga kijinga hivi vinaipa iaga Simba tu na wakishinda wanaanza ngebe mwaka mzima.

Naipenda Kagera kwani huwa ina fight kwa timu zote kubwa na siyo kujilegeza kwa timu moja wapo
 
Ningependa kujua maana ya hilo jina Ihefu na historia ya hii club. Itapendeza sn sn
 
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
Mkuu siungetulia ili uandike kitu kinachoeleweka?
 
Saf Sana tunataka timu zenye ela Ndo zishiriki ligi kuu Kama huna ela baki huko huko ligi ndogo mpira n pesa mpira n uwekezaji mzur
 
Niliskia radion kuna jamaa ana lalamika kua hii tumu niya wahindi sijui waarabu.
Anae jua atujuze
 
Back
Top Bottom