Nachukua nafasi hii kuwashauri TZ PRISON ihamie sumbawanga kule itapata gate collectionKwa hiyo mbeya babalao watakua na timu tatu ligi kuu!!!!!!
Hongera sn sn👍👍🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukua nafasi hii kuwashauri TZ PRISON ihamie sumbawanga kule itapata gate collectionKwa hiyo mbeya babalao watakua na timu tatu ligi kuu!!!!!!
Hongera sn sn👍👍🔥🔥
Hapo cjakuelewa mkuu....Nachukua nafasi hii kuwashauri TZ PRISON ihamie sumbawanga kule itapata gate collection
Ahsante... Naomba nisaidie kwa ufasaha historia kamili ya club na jina pia....Hili Jina Ihefu Iwapo Sijakosea Linatokana Na Ardhi Chepechepe Kuanzia Hilo Eneo La Mbalari
Prisons ihame kutoka mbeya ihamie sumbawanga, bado hujaelewa?Hapo cjakuelewa mkuu....
Timu ya waburushi wa Mbarali,walinunua timu iliyokuwa ikiitwa Wenda FC ya Mbalizi ikiwa daraja la pili kisha wakabadili jina na kuiita Ihefu.Ningependa kujua maana ya hilo jina Ihefu na historia ya hii club. Itapendeza sn sn
Ahsante mkuu kwa summary.... wenda fc nilikua naijua. Inamaana waliponunua ikaendelea kuwa mbarali kwa maana ya mbeya mjini au ilihamishiwa Mbarali mpaka inapopanda Daraja sasa?Timu ya waburushi wa Mbalali,walinunua timu iliyokuwa ikiitwa Wenda FC ya Mbalizi ikiwa daraja la pili kisha wakabadili jina na kuiita Ihefu.
Wakapigana kupanda mpaka daraja la kwanza na sasa ligi kuu.
Wanaojua zaidi watajazia..asante.
nmekumbuka sana ni kweliTimu ya waburushi wa Mbalali,walinunua timu iliyokuwa ikiitwa Wenda FC ya Mbalizi ikiwa daraja la pili kisha wakabadili jina na kuiita Ihefu.
Wakapigana kupanda mpaka daraja la kwanza na sasa ligi kuu.
Wanaojua zaidi watajazia..asante.
Yaani kwa nn ihame prison na sio timu nyingine hapo ndo cjaelewaPrisons ihame kutoka mbeya ihamie sumbawanga, bado hujaelewa?
Ilihamishiwa Mbarali toka iliponunuliwa mkuu,kumbuka Mbarali sio Mbeya Mjini bali wilaya inayojitegema ikiwa mkoani Mbeya na makao yake makuu ni Rujewa.Ahsante mkuu kwa summary.... wenda fc nilikua naijua. Inamaana waliponunua ikaendelea kuwa mbarali kwa maana ya mbeya mjini au ilihamishiwa Mbarali mpaka inapopanda Daraja sasa?
Hii ihefu ina uhusiano gani na Masanja? Ni mmoja wa wawekezaji?Ilihamishiwa Mbarali toka iliponunuliwa mkuu,kumbuka Mbalali sio Mbeya Mjini bali wilaya inayojitegema ikiwa mkoani Mbeya na makao yake makuu ni Rujewa.
Mapambano yote yamefanyikia huko huko kwa walima mpunga.
Hii ihefu ina uhusiano gani na Masanja? Ni mmoja wa wawekezaji?
Inawezekana akawa ni mmoja wa wanahisa japo naye kwao ni mbalaliHii ihefu ina uhusiano gani na Masanja? Ni mmoja wa wawekezaji?
Mkuu Mo wa Simba ni kabila gani?Niliskia radion kuna jamaa ana lalamika kua hii tumu niya wahindi sijui waarabu.
Anae jua atujuze
Tanzania Prisons ni timu ya jeshi la magereza na jeshi la magereza lipo tz nzima sasa pale mbeya sasahivi wana timu tatu ligi kuu ndio maana nikasema kwanini wahameYaani kwa nn ihame prison na sio timu nyingine hapo ndo cjaelewa
MkuuAhsante... Naomba nisaidie kwa ufasaha historia kamili ya club na jina pia....
Ahsante mkuuMkuu
Kwakifupi Historia Yake Siijui, Ila Wajuzi Wanakuja Kukujuza Muda Siyo Mrefu Sana
Sawa mkuu watakua wamekusikiaTanzania Prisons ni timu ya jeshi la magereza na jeshi la magereza lipo tz nzima sasa pale mbeya sasahivi wana timu tatu ligi kuu ndio maana nikasema kwanini wahame