[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulichokiandika ndg, Watu wa mbeya tu tumeelewa kwa sababu tunafuraha
Tatizo zikija ligi kuu, zinawakamia Simba na Yanga tu.. utadhani ukiwafunga hao ndo hushuki daraja...Zinakuja na kushuka.
Mkuu siungetulia ili uandike kitu kinachoeleweka?Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
Hili Jina Ihefu Iwapo Sijakosea Linatokana Na Ardhi Chepechepe Kuanzia Hilo Eneo La MbalariNingependa kujua maana ya hilo jina Ihefu na historia ya hii club. Itapendeza sn sn
Mwandiko wa keypad ya mleta mada unachekesha sana.Ulichokiandika ndg, Watu wa mbeya tu tumeelewa kwa sababu tunafuraha
Haroon PirMohamed aliyekuwa mbunge wa MbalaliNiliskia radion kuna jamaa ana lalamika kua hii tumu niya wahindi sijui waarabu.
Anae jua atujuze
Itakuwa wewe ni refaNimefurahi sana ihefu kupanda ligi kuu. Nilishakula mpunga wao hawa jamaa.
Karibuni ligi kuu.