kupitia cloudsfm kuna jamaa alitoa historia fupi ya team ya ihefu
ihefu ni timu ambayo ilianzishwa kama timu ya wafanyakaz ambayo ilikuwa inatumika kushiriki mashindano na timu za mbarali ,ikashiriki ligi daraja la tatu kwa kutumia jina la mbarali fc
katika misimu mitatu ikacheza lakini ikashindwa kuingia ligi daraja la 2 , msimu wa mwaka 2016 wakaamua kununua timu ya wenda fc ya mbalizi ambayo ilikuwa ipo daraja la 2 ,na kuibadili jina kuwa ihefu fc na ihefu ni jina lililokuja kutokana na mbarali kuwa ipo kwenye bonde la ufa ambalo linaitwa ihefu ,