Ihefu wamefanya hivi leo

Ihefu wamefanya hivi leo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Dah watu wamevunjiwa yai
IMG-20221129-WA0000.jpg


Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Na watakuwa wametoa zote ya mbele na ya nyuma.
 
Yaani yanga afungwe halafu mnataka wote tupate huzuni. Hiyo ndo dawa ya midomo iliyopitiliza.
 
Sasa ushindi wa Ihefu ukawe chachu ya kushinda mechi zao zilizosalia
Basi mpira wala hauko hivyo Chifu, usishangae tu kukuta Ihefu kachezea 5 - 0 mechi ijayo na Yanga akashinda hata mechi zake zote hadi ubingwa maana tayari atajitathmini na kufanyia usahihi makosa yake vizuri [emoji1]

Yote kwa yote Ihefu kashinda mechi kihalali kabisa, kongole kwake [emoji106]
 
Team inashinda kwa ushirikina hawashindi mpaka wavae jezi nyeusi.
 
Kama Ayo Yanga imekua ikimvunjia Simba Mayai yasiyo na idadi.
Weee utuliee umepigwa mandee, watu wametolewa bikra kwa mabao 2 ya motooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada poleeeee, huku n furaha tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsantee naona Simba mmefurahi sana sisi kuharibiwa record ya unbeaten eeh, wee katoto upo? You're missed 😘
 
Mambo ya Ihefu
 

Attachments

  • VID-20221129-WA0098.mp4
    1.3 MB
  • VID-20221129-WA0108.mp4
    566.3 KB
Ili yowe lililopigwa huku kwenye mashamba ya mpunga sio la kawaida wakulima wamekula mzigo mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom