Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba tumefurahishwa na watoto wadogo walioshika mkia kusokomeza nyuma miko 49 kwa mtu mzima bila hurumaYaani simba mmefurahi kuliko hata Ihefu wenyewe🤔
Basi mpira wala hauko hivyo Chifu, usishangae tu kukuta Ihefu kachezea 5 - 0 mechi ijayo na Yanga akashinda hata mechi zake zote hadi ubingwa maana tayari atajitathmini na kufanyia usahihi makosa yake vizuri [emoji1]Sasa ushindi wa Ihefu ukawe chachu ya kushinda mechi zao zilizosalia
Hee😂😂 Simba mna maneno machafuSimba tumefurahishwa na watoto wadogo walioshika mkia kusokomeza nyuma miko 49 kwa mtu mzima bila huruma
Sema tu ukweli nyie ni wakufanywa vile na wqtoto wqdogo kwenye mashamba ya mpunga?Hee😂😂 Simba mna maneno machafu
Weee utuliee umepigwa mandee, watu wametolewa bikra kwa mabao 2 ya motooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Ayo Yanga imekua ikimvunjia Simba Mayai yasiyo na idadi.
Dada poleeeee, huku n furaha tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani simba mmefurahi kuliko hata Ihefu wenyewe[emoji848]
Kwan sis Simba huo msiba unatuhusu nn.Yaani simba mmefurahi kuliko hata Ihefu wenyewe[emoji848]
Ahsantee naona Simba mmefurahi sana sisi kuharibiwa record ya unbeaten eeh, wee katoto upo? You're missed 😘Dada poleeeee, huku n furaha tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni roho mbaya msiba ni wetu sote😂Kwan sis Simba huo msiba unatuhusu nn