iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

Sua grade zenu ni sawa na zetu, labda ni kwasababu sisi tupo under sua, pia 2kifanya supplementary 2kasapua unapata C
 
C ya 50 ni kwa level za Diploma yaani ni NTA Level 4 up to Level 5
But fo Level 6 C inaanzia 45.

Bacherol Degree C vyuo vingi huanzia 45, then B 55 up to 64, then B+ 65 to 74.. kuanzia 75 ni A hadi 100.

Kwa 40 sifahamu kama kunachuo kinasema hiyo ni C

KWAMUJIBU WA UDSM PROSPECTUS

Assessment of the student's progress shall be based on the following grading system:

A : 70 - 100 C : 40 - 49
B+ : 60 - 69 D : 35 - 39
B : 50 - 59 E : 0 - 34
GPA
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1
The above range of marks being a result of rounding of all decimals of the marks.

UDOM PROSPECTUS

GRADE GRADE POINT SCORE RANGE DEFINITION
A= 5= 75 % - 100% Excellent; work of outstanding quality, rare talent for
the module and an original or incisive mind.
B= 4= 65% - 74% Very good; comprehensive accurate work, fl air for
and comprehension of the module.
B =3= 55 % - 64% Good; sound grasp of most important goals of
the module. The work is described as careful and
competent without being distinguished.
C =2= 45% - 54% Satisfactory; competence which its work is described
as adequate.
D =1= 35% - 44% Poor; marginal and barely satisfy the minimum
requirement.
F =0= 0% - 34% Failure
NB: Grades A, B+, B and C shall be regarded as pass in ascending order of merit
where A will be the highest pass grade and C would be the minimum pass
grade while grade D and F shall be regarded as fail.
The minimum passing grade shall be 'C'.
 
Hao wenye C zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema C yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na C* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine
Kwa mujibu wa halimashauri ya ubongo wako.
 
Habarii wana jamvi..Leo nimeona tujalibu kufunguana mawazo juu ya dalaja C vyuo vikuu Tz. Hili suala tunaliona dogo lakini linamghalimu mtu mmoja mjoja huko mtaani, Wakati tukipitapita na bahasha zetu huko maofisini hatutakuwa tukiulizwa kuwa umesoma chuo gani, shida itafika wakati wa kuangalia certificate za watu tokea vyuo tofauti vyenye madalaja ya ufaulu tofauti,kuna baadhi ya vyuo dalaja C linaanza na 40 na vingine linaanza na 50% cjajua kama kuna vyuo dalaja C linaanza chini ya 40%, kwa vyuo ambavyo C ni 40% au chini ya hapo mwenye 41% atakuwa na dalaja C wakati huohuo kwa ambao C inaanza na 50% mwenye 49.9% atakuwa na D hivyo lazima awe alifaya mtihani wa supplimentary nakupewa C*(suppl..).Hawa watu wawili wakiingia kwenye kinyan'ganyilo ataonekana mwenye C alifanya vizuri kuliko mwenye C* na huenda mwenye C* akakosa nafasi kwasababu hiyo. Hili mnalionaje wasomi wenzangu na mnamaoni gani????.

Nakusoma mkuu, hii hata mi nna wasi wasi nayo kwani nipo chuo flan hapa ambapo c yake inaanzia 50...duh majanga
 
Hao wenye C zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema C yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na C* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine

Hiyo akili ndo iliamua kushusha viwango vya ufaulu Tz maana iligundua nchi nyingine za Africa ht Ulaya mitihani yao soft ndomana passmark zipo juu.. fikiria zaidi
 
inaelekea vijana mnaogopa sana makarai. karai mtapiga sana nyie kizazi cha mulugo division 5. ukitaka kuliepuka kuwa john kisomo, si kutaka kusoma soft soft notice ka mlizozoea za nyambari nyangwine & his comp
 
inaelekea vijana mnaogopa sana makarai. karai mtapiga sana nyie kizazi cha mulugo division 5. ukitaka kuliepuka kuwa john kisomo, si kutaka kusoma soft soft notice ka mlizozoea za nyambari nyangwine & his comp
Haya bhanaaaaa.
 
Sua na mzumbe calculation zao zinafanana.....inagharimu wakati wa kusoma maana we unahangaika kupata 50 ndo karai mwezio wa chuo kingene 50 amefaulu
 
hao wenye c zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema c yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na c* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine

kaulize vizuri mkuu
 
kwa sua zimekaa hivi..

Grade range of equation grade point marks
a: 70 – 100% y = 0.02x + 3 (4.4 – 5.0)
b+: 65 – 69.9% y = 0.08x – 1.2 (4.0 – 4.39)
b: 60 – 64.9% y = 0.2x – 9 (3.0 – 3.99)
c: 50 – 59.9% y = 0.1x – 3 (2.0 – 2.99)
d: 40 – 49.9% y = 0.1x – 3 (1.0 – 1.99)
e: 0 – 39.9% y = (0.025) x (0.0 – 0.99)

where y = grade point; x = raw marks
hii kama mzumbe
 
Back
Top Bottom