sDuh! Wengine mna raha sana! Medicine: A= 100-75, B+=70-74, B=69-60, C=59-50, D=49-45, E=44-0%
C ya 50 ni kwa level za Diploma yaani ni NTA Level 4 up to Level 5
But fo Level 6 C inaanzia 45.
Bacherol Degree C vyuo vingi huanzia 45, then B 55 up to 64, then B+ 65 to 74.. kuanzia 75 ni A hadi 100.
Kwa 40 sifahamu kama kunachuo kinasema hiyo ni C
Mmmmmh kuna C ya supplimentary icyo na * ?.
kama akili yako ilivyo soft hata inashindwa kufikiri jambo dogo kama hili..
Kwa mujibu wa halimashauri ya ubongo wako.Hao wenye C zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema C yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na C* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine
Habarii wana jamvi..Leo nimeona tujalibu kufunguana mawazo juu ya dalaja C vyuo vikuu Tz. Hili suala tunaliona dogo lakini linamghalimu mtu mmoja mjoja huko mtaani, Wakati tukipitapita na bahasha zetu huko maofisini hatutakuwa tukiulizwa kuwa umesoma chuo gani, shida itafika wakati wa kuangalia certificate za watu tokea vyuo tofauti vyenye madalaja ya ufaulu tofauti,kuna baadhi ya vyuo dalaja C linaanza na 40 na vingine linaanza na 50% cjajua kama kuna vyuo dalaja C linaanza chini ya 40%, kwa vyuo ambavyo C ni 40% au chini ya hapo mwenye 41% atakuwa na dalaja C wakati huohuo kwa ambao C inaanza na 50% mwenye 49.9% atakuwa na D hivyo lazima awe alifaya mtihani wa supplimentary nakupewa C*(suppl..).Hawa watu wawili wakiingia kwenye kinyan'ganyilo ataonekana mwenye C alifanya vizuri kuliko mwenye C* na huenda mwenye C* akakosa nafasi kwasababu hiyo. Hili mnalionaje wasomi wenzangu na mnamaoni gani????.
Kwa mujibu wa halimashauri ya ubongo wako.
Hao wenye C zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema C yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na C* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine
Haya bhanaaaaa.inaelekea vijana mnaogopa sana makarai. karai mtapiga sana nyie kizazi cha mulugo division 5. ukitaka kuliepuka kuwa john kisomo, si kutaka kusoma soft soft notice ka mlizozoea za nyambari nyangwine & his comp
hao wenye c zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema c yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na c* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine
hii kama mzumbekwa sua zimekaa hivi..
Grade range of equation grade point marks
a: 70 100% y = 0.02x + 3 (4.4 5.0)
b+: 65 69.9% y = 0.08x 1.2 (4.0 4.39)
b: 60 64.9% y = 0.2x 9 (3.0 3.99)
c: 50 59.9% y = 0.1x 3 (2.0 2.99)
d: 40 49.9% y = 0.1x 3 (1.0 1.99)
e: 0 39.9% y = (0.025) x (0.0 0.99)
where y = grade point; x = raw marks