IJue Asec Mimosas

IJue Asec Mimosas

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
[emoji95] 𝘼 π™Ž 𝙀 𝘾 π™ˆ 𝙄 π™ˆ π™Š π™Ž 𝘼 π™Ž [emoji573]

[emoji419] Kwa kifupi sana kuhusu ASEC MIMOSAS wapinzani wa Simba kwenye kombe la shirikisho Afrika,

[emoji419] Klabu hii ilianzishwa mwaka 1948 ni miaka 74 sasa imepita na inashiriki Ligi kuu nchini Ivory coast,

[emoji419] Inamiliki uwanja wake ujulikanao kama Stade Felix Houphouet-Bolgny Abidjan, wenye uwezo wa kuingiza watazamaji 50,000.

[emoji419] Mwenyekiti wake ni Roger Ouegnin huku ikiwa inafundishwa na kocha Julien Chevaller.

[emoji419] Na hawa ni baadhi ya nyota waliowahi kuichezea ASEC MIMOSAS

[emoji419] Bonaventure Kalou, Didier Zokora, Emmanuel Eboue, Bakari Kone, Gervinho, Solomon Kalou, Romaric, Boubacar Barry, Didier Ya Konan, Kolo Toure, Yaya Toure, na Odilon Kassounou.

[emoji419] Kwenye kuyaanza makundi ya kombe la shirikisho wataanza na Mnyama kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa
 
Hao ndo wazuri,tuwafunge nje ndani huku Yaya Tuore na ngugu yake wanaona.

Simba nguvu moja.
 
Weka kapicha cha Jezi zao tuone.
 
Back
Top Bottom