Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
-
- #101
Hahahahโ ๐ ๐ฐ๐ถ ๐ค๐ข๐ฏ'๐ต ๐ด๐ฆ๐ฆ ๐ต๐ฉ๐ช๐ด ๐ค๐ฐ๐ฎ๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐ต ๐ฃ๐ฆ๐ค๐ข๐ถ๐ด๐ฆ ๐บ๐ฐ๐ถ ๐ข๐ณ๐ฆ ๐ถ๐ด๐ช๐ฏ๐จ ๐ข ๐๐ฉ๐ช๐ฏ๐ฆ๐ด๐ฆ ๐ฎ๐ฐ๐ฃ๐ช๐ญ๐ฆ
Ni vurugu tupu, na ndivyo baharini ilivyoUmenikumbusha zamani tulikuwa tunaenda kuchota maji na tela la ng'ombe. Kwenye mapima ya maji tunaweza miti ili maji yasiyumbe. Usipofanya hivyo yatafika nusu
Nilipata zari kuna kampuni nilikuwa nafanya nayo kazi ya ufundi, ilikuwa kampuni ya wajapani, tulikuwa mafundi wa kibongo wawili, kulikuwa na sherehe zao, wakatuchukua kwenye chombo kutuonesha maajabu, kuna vidumbwana kama submarine unazama chini kabisa ya bahari! Ndiko nikajionea maajabu laivuu.
Sikutamani tena kurudia kuzama! Kuna vimbwanga si mchezo! Hadi mkataba ulivyoisha tukarudi bongo sijawahi taman kabisa kujua yaliyomo yanatisha.
Ngoja niiweke kwenye ukurasa wa Instagram @samico_tanzaniaKwa faida ya wengi Embu tuelezee uliyokutana nayo huko ikibidi anziaha Thread kabisa ya uliyoyaona chini ya bahari.
The average depth of the ocean is about 3,688 meters (12,100 feet). The deepest part of the ocean is called the Challenger Deep and is located beneath the western Pacific Ocean in the southern end of the Mariana Trench, which runs several hundred kilometers southwest of the U.S. territorial island of Guam. Challenger Deep is approximately 10,935 meters (35,876 feet) deepKilomita 11 kwenda chini. Urefu wa kawaida wa bahari za dunia ni kilomita 7 hadi 8 ila kuna maeneo yana kina kirefu cha kilomita 10-11
Bahari ina maajabu
fallacy!Sio miti tu, huko chini baharini mpaka kuna miji kabisa watu wanaishi, kuna masoko, lodges na makaburi vilevile.
Mind your businessEndelea kusikiA
Naona dumu lilizama huko chini ya bahari๐
Huyu ni samaki ndege!
huyu ni mnyama anaitwa seal anakula samakiHuyu ni samaki ndege!
Nanga huwa inaangushwa kwenye kina cha kawaida chenye sakafu ya mchanga na tope, nanga hushika vizuri kwenye tope au mchanga. Si salama kuangusha nanga kwenye miamba,sehemu iliyo wekwa cable au pipes chini ya majiNa huwa inaenda jikita wapi hio nanga? Ni majabali au? Kuitoa je?
Kuweka na kuitoa inatumika motaNa huwa inaenda jikita wapi hio nanga? Ni majabali au? Kuitoa je?
Nimecheki video YouTube animation ..namna kalivo sikuwa nimewahi ionaNanga huwa inaangushwa kwenye kina cha kawaida chenye sakafu ya mchanga na tope, nanga hushika vizuri kwenye tope au mchanga. Si salama kuangusha nanga kwenye miamba,sehemu iliyo wekwa cable au pipes chini ya maji