Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Umejuaje wee jamaniWeee undugu hauna conection huu ukaka na udada wetu uko tofaut na wa kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje wee jamaniWeee undugu hauna conection huu ukaka na udada wetu uko tofaut na wa kwenu
Hamna atakaeombaTatzo mie mkarimu sana wakiipenda wakiomba ntawapa af utachukia
Muulize shunie atakwambia vzurUmejuaje wee jamani
Una uhakika gan?Hamna atakaeomba
Sema mume jamaniNtakuletea nimkute na bwana ako
Shunie ukuje huku useme ukweliMuulize shunie atakwambia vzur
Bwanaa eeeh, kama hutaki kunipa sema tuuUna uhakika gan?
We jua tu hakuna undugu mie kaka yake kwa shangazi yake mtoto wa bib yule mdogo wake na baba sjui umenielewa?Shunie ukuje huku useme ukweli
SITAKIBwanaa eeeh, kama hutaki kunipa sema tuu
Unajua nimeshangaa nimeogopa hata kumquote asije akanibadilikia au ni mtu tu mwingine kaamua kuweka avatar yakeNimeona kule kachachamaa kweeli... Si ile siku nilikuambia lakini....
Marahaba
Mume mie sjui namjua bwana wakoSema mume jamani
Bonny anataka kufanya mapinduzi tena ameamuaMmmmh
Tuitamani vipii we iweke tuIli muitaman?
Hatabak mtu salama nakwambiaBonny anataka kufanya mapinduzi tena ameamua
Hahhah najijuaje jamanUnajijua kwa nn ila njoo tu
Kashasema hatak tena so nmeghairTuitamani vipii we iweke tu
HahhhhahHa ha ha sasa wewe c dada ki kwel kwel
Naogopa sanaOgopa hvyo hvyo aje mwenyewe
We cheka tuHahhhhah
hata me nashangaa mkulane tuMrembo kama huyu anakuitaje kaka aiseee