Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kwa nini hivyo lakini mkaka
Vita ya kukuiba haijawah kumuacha mtu salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hivyo lakini mkaka
Nimewahiwa ujue
Kuvuta huko ndo kumekufanya unikose sasaa
Mr T nae sijui kaenda wapi sasaVita ya kukuiba haijawah kumuacha mtu salama
Teh teh tehMie mwenyewe niliwahiwa nilipofika kwako tu nimerewind
Mr T nae sijui kaenda wapi sasa
Wewe mie sitaki bhanaWeee nan kasema nmekukosa hapa ndio tunaanza upya
Teh teh teh
Wewe mie sitaki bhana
Kwa heri mkakaHa ha ha mziki wangu sio wa nchi hii anaona vumbi tu
Sio rahisi kihivyo ujueKwahyo jiriwaindishe tu Mr T kashasanda game
Kwa heri mkaka
Sitakiiii bhanaAhaa jaman sakayo enhee kamoyo kako kameshaelekea kibla
Sio rahisi kihivyo ujue
NdioYamekuwa hayo tena
Nawe pia uwe na usiku mwema mkaka
Mbona mapema lakini ebu tumuulize vale kwanza kwa nini kamuacha shemeji yetuTwende tuondoke
Nafanyaje dada jamanNa wewe unakubali etii Eeeh
Jana alisema eti ni mdogoMbona mapema lakini ebu tumuulize vale kwanza kwa nini kamuacha shemeji yetu