CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
Yah, kopo la kukojolea maana naogopa kutoka nje muda huu[emoji47]Mweeh kopo tena
Binafsi huwa naona mahala salama kwa ajili ya kupembua na kutafakati jambo la maana ni huku Jami forum .Sasa. kama huku nako kunageuka kuwa ni mahala pa kufanya romantics basi tumekwisha. Jamii forum inageuka kuwa si mahala salama tenaIvi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.
Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Usihukumu usije ukahukumiwa.Wapi nimemkataa wifi yangu? Mie nawakataa wazinzi wenzio. Siku ukimpata wifi ndio uje unitambulishe dogo. Hao wengine muishie huko huko, wasije niona na mie wale wale!!! Sawa mtoto mzuri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona muendelezo wako wa kuwakataa mawifi. Wewe unamtaka nani au mtoto wa bill gate? Au Sasha Obama?
hahahha naanzaje sasa kukugombanisha nao watu wamekupenda wamekufwa wameozaNimelinganisha swali ulilouliza mamdogo.
Au unataka kunigombanisha nao eeh
ki nini hiko wataondoka nachoKwani baby nikicheka nao wanaondoka nacho?
Si wajua mkeo navopenda kucheka jamani
kwahiyo shangazi me naonekana walewaleWapi nimemkataa wifi yangu? Mie nawakataa wazinzi wenzio. Siku ukimpata wifi ndio uje unitambulishe dogo. Hao wengine muishie huko huko, wasije niona na mie wale wale!!! Sawa mtoto mzuri?
Na hicho ndicho kitafanya nishindwe kuacha kuchepuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahha naanzaje sasa kukugombanisha nao watu wamekupenda wamekufwa wameoza
[emoji2] [emoji2]Yah, kopo la kukojolea maana naogopa kutoka nje muda huu[emoji47]
hii ni chit chat nendeni majukwaa mengine ya maana kwenu kama mnakwazika hapaBinafsi huwa naona mahala salama kwa ajili ya kupembua na kutafakati jambo la maana ni huku Jami forum .Sasa. kama huku nako kunageuka kuwa ni mahala pa kufanya romantics basi tumekwisha. Jamii forum inageuka kuwa si mahala salama tena
hapana aisee jumapili nipo kanisani kwangu kkkt ubungo plazaNa hicho ndicho kitafanya nishindwe kuacha kuchepuka.
Jpili nipitie twende kwa mwamsha madude au kwa mwaposa nikafufuke mamdogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2]
Ha haa uvivu sasa huoYah, kopo la kukojolea maana naogopa kutoka nje muda huu[emoji47]
Kila utambulisho huwa unasema hivyo hivyo. Mie sitaki tena kwakweli. Utanitambulisha siku ya harusi maybe ndio nitakuelewa.Usihukumu usije ukahukumiwa.
Ndiyo nimepata unatambulishwa au utambulisho wako hadi urushwe na runinga ya umma mubashara? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwahiyo shangazi me naonekana walewale
Kidudeee[emoji85]ki nini hiko wataondoka nacho
Hii ni chit chat, of all threads na majukwaa yooote ukafungua hii alafu unashangaa!!!Binafsi huwa naona mahala salama kwa ajili ya kupembua na kutafakati jambo la maana ni huku Jami forum .Sasa. kama huku nako kunageuka kuwa ni mahala pa kufanya romantics basi tumekwisha. Jamii forum inageuka kuwa si mahala salama tena
Haya uniombee basihapana aisee jumapili nipo kanisani kwangu kkkt ubungo plaza