Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Mie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!

Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
Ha haa yule Mkenya mwambie akasome
 
shangazi mie kila siku natambulishwa mamdogo tu
Kuna siku utarudi home umevimba ndio utakoma, pale utapomsalimia mamako mdogo kumbe kishaachwa upokee bonge la kofi. We tambulishwa tu, ila mie asubiri hadi akikua.
 
Naona muendelezo wako wa kuwakataa mawifi. Wewe unamtaka nani au mtoto wa bill gate? Au Sasha Obama?
Wapi nimemkataa wifi yangu? Mie nawakataa wazinzi wenzio. Siku ukimpata wifi ndio uje unitambulishe dogo. Hao wengine muishie huko huko, wasije niona na mie wale wale!!! Sawa mtoto mzuri?
 
Back
Top Bottom