Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Ha haa yule Mkenya mwambie akasomeMie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!
Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.