Kwani vipindi vya bailojia ulikuwa unadoji mamy? Muwa ni shina na sio mti wala tunda. mti ni kuanzia miziz hadi majani.Eti baby muwa ni mti au ni tunda?
Mondray alipotea nafasi ikazibwanilikua najua ni mupenzi wake mondray si alikuwa analia lia kila siku mpenzi wake vale
Mi kazi yangu ilikua kukimbilia toilet wakati wa kipindi mwenzioKwani vipindi vya bailojia ulikuwa unadoji mamy? Muwa ni shina na sio mti wala tunda. mti ni kuanzia miziz hadi majani.
Au unamanisha muwa wa unarambooo [emoji445][emoji445][emoji445]
Nimeubeba nipo Arusha Raha nakuletea.Mi kazi yangu ilikua kukimbilia toilet wakati wa kipindi mwenzio
Muwa huo huo mtamu bana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]jamaan shangazi [emoji134]
Huwa nashangaa mtu kaingia jukwaa la mapenzi alafu anashangaa watu kujadili mapenzi, mbona wakiingia la siasa hawashangai watu kujadili siasa!!!!shangaa na ww shangazi
Hayo mambo mawili ndio yamekushinda kabisa ktk hii dunia, siku ukiyafanikisha nitafurahi sana dada yako. Namsubiri wifi yangu nimpende hadi ashangae.Haya kalale maana mim na wewe haujawahi kuelewana kwenye mapenzi na ugawanaji wa pesa.
Wewe huyu ndiyo yeye yeye. Uzuri tena ni shoga yako mpokee tu.Hayo mambo mawili ndio yamekushinda kabisa ktk hii dunia, siku ukiyafanikisha nitafurahi sana dada yako. Namsubiri wifi yangu nimpende hadi ashangae.
Hapana, wewe ni kaka yangu nakufahamu kama kiganja cha mkono wangu. When yo happy i know, ndio maana unaona nimetulia tu. Naisubiri ile siku.Wewe huyu ndiyo yeye yeye. Uzuri tena ni shoga yako mpokee tu.
Hadi nimetema mate chini
Njoo lipiza hata kabla hajampa shemejiSumbai hana tatizo maana ukimpa tu nalipiza kwa mama p cute b
Haha. Nakuweza basi.Hapana, wewe ni kaka yangu nakufahamu kama kiganja cha mkono wangu. When yo happy i know, ndio maana unaona nimetulia tu. Naisubiri ile siku.
Halafu ujue nilikuona kwenye uzi wa wachawi nikikuona tu mwili unasisimka. Wewe ni Mchawi shemeji?Njoo lipiza hata kabla hajampa shemeji
Hapana shemeji zile ni chai tuu.Halafu ujue nilikuona kwenye uzi wa wachawi nikikuona tu mwili unasisimka. Wewe ni Mchawi shemeji?
Binafsi huwa naona mahala salama kwa ajili ya kupembua na kutafakati jambo la maana ni huku Jami forum .Sasa. kama huku nako kunageuka kuwa ni mahala pa kufanya romantics basi tumekwisha. Jamii forum inageuka kuwa si mahala salama tena
Ameen.Vizur jina la bwana lihimidiwe..
Huyo mdogo wangu toka shule alikuwa anampenda Mungu. Naamini hata tendo huwa mnasali kwanza.
Hizi za mara mnakanana, mara umesingiziwa, mara ukimbie, mara ukubali mara ukatae najua ni mechi za kirafiki tu. Naisubiri fainali.Haha. Nakuweza basi.
Haya sisy ulale salama
Ama kweli mnaenjoy. mungu awape nini. Nitamleta huyu kanisani kwenu.Ameen.
Kumbe umesoma naye.
Tunasali kwanza kabla ya tendo la ndoa.
Hizo sahau.Hizi za mara mnakanana, mara umesingiziwa, mara ukimbie, mara ukubali mara ukatae najua ni mechi za kirafiki tu. Naisubiri fainali.
Uwe na usiku mwema mdogo wangu.