Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Kwani vipindi vya bailojia ulikuwa unadoji mamy? Muwa ni shina na sio mti wala tunda. mti ni kuanzia miziz hadi majani.

Au unamanisha muwa wa unarambooo [emoji445][emoji445][emoji445]
Mi kazi yangu ilikua kukimbilia toilet wakati wa kipindi mwenzio

Muwa huo huo mtamu bana
 
Haya kalale maana mim na wewe haujawahi kuelewana kwenye mapenzi na ugawanaji wa pesa.
Hayo mambo mawili ndio yamekushinda kabisa ktk hii dunia, siku ukiyafanikisha nitafurahi sana dada yako. Namsubiri wifi yangu nimpende hadi ashangae.
 
Hayo mambo mawili ndio yamekushinda kabisa ktk hii dunia, siku ukiyafanikisha nitafurahi sana dada yako. Namsubiri wifi yangu nimpende hadi ashangae.
Wewe huyu ndiyo yeye yeye. Uzuri tena ni shoga yako mpokee tu.

Hadi nimetema mate chini
 
Wewe huyu ndiyo yeye yeye. Uzuri tena ni shoga yako mpokee tu.

Hadi nimetema mate chini
Hapana, wewe ni kaka yangu nakufahamu kama kiganja cha mkono wangu. When yo happy i know, ndio maana unaona nimetulia tu. Naisubiri ile siku.
 
Hapana, wewe ni kaka yangu nakufahamu kama kiganja cha mkono wangu. When yo happy i know, ndio maana unaona nimetulia tu. Naisubiri ile siku.
Haha. Nakuweza basi.
Haya sisy ulale salama
 
Binafsi huwa naona mahala salama kwa ajili ya kupembua na kutafakati jambo la maana ni huku Jami forum .Sasa. kama huku nako kunageuka kuwa ni mahala pa kufanya romantics basi tumekwisha. Jamii forum inageuka kuwa si mahala salama tena

Unajua kwanini wamiliki wa JamiiForums waliweka different platforms humu? au labda hujui hii mada imewekwa katika platform gani? Platforms za Kupembua hayo mambo yako ziko nyingi tu au hujaziona na pengine umejikuta tu umetua hapa kwa bahati mbaya? You're very hopeless Fella.
 
Vizur jina la bwana lihimidiwe..

Huyo mdogo wangu toka shule alikuwa anampenda Mungu. Naamini hata tendo huwa mnasali kwanza.
Ameen.
Kumbe umesoma naye.
Tunasali kwanza kabla ya tendo la ndoa.
 
Haha. Nakuweza basi.
Haya sisy ulale salama
Hizi za mara mnakanana, mara umesingiziwa, mara ukimbie, mara ukubali mara ukatae najua ni mechi za kirafiki tu. Naisubiri fainali.

Uwe na usiku mwema mdogo wangu.
 
Ameen.
Kumbe umesoma naye.

Tunasali kwanza kabla ya tendo la ndoa.
Ama kweli mnaenjoy. mungu awape nini. Nitamleta huyu kanisani kwenu.

Msalimie sumbai muwe na wakati mzuri shemeji.
 
Hizi za mara mnakanana, mara umesingiziwa, mara ukimbie, mara ukubali mara ukatae najua ni mechi za kirafiki tu. Naisubiri fainali.

Uwe na usiku mwema mdogo wangu.
Hizo sahau.
Na we pia
 
Back
Top Bottom