Unamaanisha awe "anawasiliana na chama kwanza"?Aseeh.
Ukitaka kutangaza couple unatoa taarifa tutauana kwa presha.
Mwenyekiti na wajumbe muhimu kama wewe hizi taarifa zinatakiwa ziwafikie haraka la sivyo tutapoteza mafile mengine.Unamaanisha awe "anawasiliana na chama kwanza"?
Okay
Mambo Bonny
Ewaaaa swadaqta...... Habari ya kujichimbia aisee?Mwenyekiti na wajumbe muhimu kama wewe hizi taarifa zinatakiwa ziwafikie haraka la sivyo tutapoteza mafile mengine.
Asante mwayaNgoja nampa Daby zawadi yako akuletee
Halafu hili jina hili......Naaaam mambo poa sakayo mzima mdada
Mie mzima mkakaNaaaam mambo poa sakayo mzima mdada
Yangu haivunjiki, ilijengwa kwa kufuata utaratibu.Ha ha ha bomoa bomoa inavunja hata zenye hatmiliki
Ha haa haaa sebho, ghwalamsha!Ndio sebho.... afu kaka'ke sina habari
Wewe wa kupakaziwa!! Kweli nimeamini UKIMWI ni mbwembwe tu!!Wanawake wangekuwa magonjwa mnavyopenda kunipakazia leo hii ningekuwa kaburini
Em ni wish basi
Acha wivu
Yani weweHa haa haaa sebho, ghwalamsha!
Watoto wa.. com wanaleta habri zao za boyfriend mara ayaaaa