LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Shemejiii naona umepata mstiri ukastirikaAseeh.
Ukitaka kutangaza couple unatoa taarifa tutauana kwa presh chama kiidhinishe kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemejiii naona umepata mstiri ukastirikaAseeh.
Ukitaka kutangaza couple unatoa taarifa tutauana kwa presh chama kiidhinishe kwanza.
Ulinipa wasiwasi aisee maana vijana wa mtogole wanajua wapagawisha...Akuu mi staki kubaki huku mavumbini bana
Fanya mpango mdogo ako visa ipatikane ASAP kabla huyu fisi Daby hajanimaliza
Never!!!
Shunie kasema nisiwaalike eti
Huku mikoani mwaya, ukipanga ratiba sema tu niandae tiketi.. [emoji12]Asante mkuu, naja...
Kwenu ni wapi vilee
Love you auntie[emoji8] [emoji8] [emoji8]Sawa antie
Worry out!!!! Ni vile Nakupendaga
Mie aunty mtu tena niwe mapokezi!! Hebu nitake radhi. Nipo mahanjumatini huku.
Hivi kwa mtogole siku hizi wanauza magazeti?Ulinipa wasiwasi aisee maana vijana wa mtogole wanajua wapagawisha...
Sana.Mjeuriiiiiiiiii
WeweHe hee heee, niandalie vuvuzela kabisa
Mie bonge la nyau sipagawi kirahisi broh wanguUlinipa wasiwasi aisee maana vijana wa mtogole wanajua wapagawisha...
Mie aunty mtu tena niwe mapokezi!! Hebu nitake radhi. Nipo mahanjumatini huku.
Kiduku na singeli tuuuHivi kwa mtogole siku hizi wanauza magazeti?
Au kiduku na singeli tu kama juzi kama jana....
Asante mkuuHuku mikoani mwaya, ukipanga ratiba sema tu niandae tiketi.. [emoji12]
Shunie kasema nisiwaalike eti
Love you more antie [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Love you auntie[emoji8] [emoji8] [emoji8]