Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ha hanha nakuja na Daby akitushinda tunamwambia babu asprin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo babu asprin ndio anasubiliwa aingie kwenye kumi na nane apigiliwe mbali daby hana shina muarusha mwenzie atawakana
 
Shunie Kwan shemej yako kakuhonga uje kumtetea
hahahh sio kunihonga shem wangu anampenda sana sakayo ila huyo mke sasa mara amwambie Daby kuwa hawezi kumuacha asprin wewe nae ndio hivyo unakimbizia me yangu macho jamaan
 
hahahh sio kunihonga shem wangu anampenda sana sakayo ila huyo mke sasa mara amwambie Daby kuwa hawezi kumuacha asprin wewe nae ndio hivyo unakimbizia me yangu macho jamaan
Embu chagua sasa Mie Daby na aspirin Nan amfukuzie
 
Back
Top Bottom