Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ile siku nilitolewa povu kapuku hukuwepo eehsio muoga ila sitaki kumpa mtu kiki ili iwaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile siku nilitolewa povu kapuku hukuwepo eehsio muoga ila sitaki kumpa mtu kiki ili iwaje sasa
mmh povu lipi hilo na naniIle siku nilitolewa povu kapuku hukuwepo eeh
hahah na mi ndio nitakuwa vile dada ndio mana unanipenda hutaki kabisa mdogo ako nipate shidaHahaha
Kama mke wa Dangote rapa
mimi apa dada anguMdogo wangu mie
Yule yulemmh povu lipi hilo na nani
Ukipata najua na mie sitalala njaahahah na mi ndio nitakuwa vile dada ndio mana unanipenda hutaki kabisa mdogo ako nipate shida
Kwa nini unanilisha manenomimi apa dada angu
usiniambie lini hiyo sijaona yaan ni mswazi yule ujue me sitaki jamanYule yule
hahhaha umasikini byebye unalalaje na njaa kwa mfanoUkipata najua na mie sitalala njaa
we ndio unanilisha maneno ujue lini tumemsema kaka yangu bonnyKwa nini unanilisha maneno
Majuzi asubuhiusiniambie lini hiyo sijaona yaan ni mswazi yule ujue me sitaki jaman
aiseee me sitaki mazoea nae ya vilee sitaki kabisaMajuzi asubuhi
Umeonaeehahhaha umasikini byebye unalalaje na njaa kwa mfano
Yaaniaiseee me sitaki mazoea nae ya vilee sitaki kabisa
Nilikuwa nanyongwa na ku defend research [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sio ya maganda ya koroshoUlipotea mzee. Au ndiyo ile mida ya kunyongwa eeeh
hahhah umevurugwa ujue we si ndio umemzungumzia hapa me napataje noUmeonaee
Hivi huna namba za Dangote og
we mchunguze tu ni bonge la mswaziiiYaani
Sijui yukoje
Ngoja ni Google namba nikutumiehahhah umevurugwa ujue we si ndio umemzungumzia hapa me napataje no
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]we mchunguze tu ni bonge la mswaziii
Nina hamu na povu, mie nitalifulia bhana