Polycythemia Vera
Member
- Dec 8, 2023
- 19
- 30
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imekamata dawa aina ya MDPV , je dawa Ina madhara/hatari zipi kwa mtumiaji?
IFAHAMU KWANZA,
MDPV ni dawa ambayo Iko kwenye kundi la dawa zinazoitwa ' stimulants ' ,mfano wa dawa ambazo ziko kwenye kundi hili ni mirungi ( cathinone), Amphetamines.
Kimuundo wa kikemikali ( chemical structure) MDPV inafanana na kemikali asilia inayopatikana kwenye mirungi ( cathinone) ,kwa kuwa mirungi imeshapigwa marufuku nchini hali kadhalika hii MDPV ambayo ni cathinone iliochangamka ( modified cathinone) ni lazima ipigwe marufuku kwa nguvu zote.
MADHARA YAKE.
Hii dawa ni hatari kiafya, ina uwezo mkubwa wa kuleta hali ya uteja ' addiction '. Ambalo vijana wetu wengi wamepotea na kuangalia