No 0ne
Member
- May 22, 2014
- 96
- 102
Naomba kujzwa madhara ya kubadili jina, je? kama vyeti havibadilishwi mchakato unakuaje ukitaka kutumia vyeti na ss vitakuwa na jina lako la zaman?Vyetu vya shule havibadilishwagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujzwa madhara ya kubadili jina, je? kama vyeti havibadilishwi mchakato unakuaje ukitaka kutumia vyeti na ss vitakuwa na jina lako la zaman?Vyetu vya shule havibadilishwagi
Wakati unabadilisha jina unaomba copy kadhaa, ukiwa una apply unapeleka na copy ya kubadilisha jina.Naomba kujzwa madhara ya kubadili jina, je? kama vyeti havibadilishwi mchakato unakuaje ukitaka kutumia vyeti na ss vitakuwa na jina lako la zaman?
ok mkuu ila hujaniambia kama kuna madhara yyt ya kubadilisha jina ,vyeti vp vinabadilika?Wakati unabadilisha jina unaomba copy kadhaa, ukiwa una apply unapeleka na copy ya kubadilisha jina.
Sidhani kama unaweza badilisha jina kwenye vyeti. Kinachotokea, unapewa document inayoitwa Deed Poll ambayo inaonyesha jina la mwanzo na jipya, pamoja na picha yako.ok mkuu ila hujaniambia kama kuna madhara yyt ya kubadilisha jina ,vyeti vp vinabadilika?
Gharama ziko vp mkuu naomba kujuzwa.Sidhani kama unaweza badilisha jina kwenye vyeti. Kinachotokea, unapewa document inayoitwa Deed Poll ambayo inaonyesha jina la mwanzo na jipya, pamoja na picha yako.
Kwa hiyo vyeti vinabaki, madhara nadhani ni kulingana na sababu unayobadilisha jina ila vitu kama passport, vitambulisho itabidi kubadilisha pia.
Vyeti vya shule hubadilishi, ina maana, kila unapotuma maombi ya kazi uta attach Deed Poll pia.
Mimi nimebadilisha mwezi wa 11. Jina langu la passport (maana nilipata passport nikiwa mdogo) ni tofauti na jina la kwenye vyeti, na pia jina lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa ni tofauti na ninalotumia la ubatizo.
Utahitaji document ambayo ndo Deed Poll kutoka kwa mwanasheria, ambayo inagharamu si zaidi ya elfu 50, then inatakiwa iwe filled wizara za ardhi ambapo ndo kuna ofisi ya kubadilisha jina.Gharama ziko vp mkuu naomba kujuzwa.
kwa hiyo laki inatosha kumaliza zoezi zimaUtahitaji document ambayo ndo Deed Poll kutoka kwa mwanasheria, ambayo inagharamu si zaidi ya elfu 50, then inatakiwa iwe filled wizara za ardhi ambapo ndo kuna ofisi ya kubadilisha jina.
Wao wana charge elfu 32,500 kwa copy 3
Hivi kwa usahihi majina ya ukoo/Surname yanatakiwa yakae wapi wakati wa kuandika jina,Kuna ofisi zingine wanakuambia like mwisho wakati wa kuandika majina,Ofisi zingine wanalitaka likae mwanzo na kuna ofisi nilienda wakataka likae katikati ,Je usahihi ni upi hapo?
mfano unaitwa
Bagia Karimati Sambusa
Bagia jina lako ,Karimati la baba na Sambusa la ukoo
Sambusa kama jina la ukoo ofisi zingine zinataka uwandike kama ifuatavyo:-
1.Bagia Karimati Sambusa
2.Sambusa,Bagia Karimbati
3.Bagia Sambusa Karimati
hapo wapi sahihi?
Vp kwenye passport na other IDs je vinabadilishwa? Na mathalani sasa hivi kila kitu kinahitaji majina matatu, je nikitaka majina mawili inawezekana kupata huduma?Vyetu vya shule havibadilishwagi
Kwa mfano nataka kutumia majina mawili kwenye kuomba passport je inaruhusiwa mkuu?Sidhani kama unaweza badilisha jina kwenye vyeti. Kinachotokea, unapewa document inayoitwa Deed Poll ambayo inaonyesha jina la mwanzo na jipya, pamoja na picha yako.
Kwa hiyo vyeti vinabaki, madhara nadhani ni kulingana na sababu unayobadilisha jina ila vitu kama passport, vitambulisho itabidi kubadilisha pia.
Vyeti vya shule hubadilishi, ina maana, kila unapotuma maombi ya kazi uta attach Deed Poll pia.
Mimi nimebadilisha mwezi wa 11. Jina langu la passport (maana nilipata passport nikiwa mdogo) ni tofauti na jina la kwenye vyeti, na pia jina lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa ni tofauti na ninalotumia la ubatizo.
Mbona sahihi ni zaidi ya mmoja tena?!Wakuu,
Nimeweka "draft" ya "Deed Poll".
Kaka ...
Ninayo hiyo huko kote nimeenda nashangaa nssf wamenikatalia nimeenda hapo ilala boma wakanikatalia wanasema nibadilishe kwenye vitambulisho chao vifanane na kwenye vyeti ndio ninapotaka kujua zaid kisheria imekaa sawa hiyo 🙏Deed Poll Ni nini?
Ni nyaraka ya kisheria inayotumika kubadilisha jina la mtu. Nyaraka hii hua inasainiwa na mtu ambaye anabadilisha jina pekee tofauti na nyaraka nyingine za kisheria ambazo zinasainiwa na watu wawili mfano Mikataba. Nyaraka hii kwa kawaida inashuhudiwa na kamishna wa viapo ambae ni hakimu au wakili.
Kwa nini Ubadilishe Jina?
Kisheria huwa ni halali mtu kubadilisha jina. Na baadhi ya sababu za kubadilisha jina zinaweza zikawa kama ifuatavyo:
1. Ndoa-Mtu ameolewa anataka achukue jina la mwisho la mke au mume wake.
2. Dini- Mtu amebadilisha dini ikapelekea kubadilisha jina lake.
3. Ulikua unatumia majina matatu mfano Jua Kali Halishi ukataka utumie majina mawili tu Jua Halishi
4. Kuna mkanganyiko wa majina kwenye nyaraka zako za kudumu mfano jina la kwenye cheti cha kuzaliwa ni tofauti na la kwenye cheti cha shule.
5. Nakadhalika.
Ufanyeje ili mabadilisho yako ya jina yatambulike kisheria?
Unatakiwa uwape(ule kiapo) kwa kutumia deed poll (nyaraka ya kubadilishia jina). Hivyo basi fika kwa hakimu au wakili yoyote ataandaa nyaraka hii kwa kumpa taarifa zako mwisho utatia sahihi yako na wakili au hakimu atashuhudia na kugonga muhuri wake kwenye deed poll aliyoiandaa kwa ajili yako.
Baada ya kupata deed poll ufanyaje?
Kwa mujibu wa sheria, deed poll inatakiwa isajiliwe na msajili wa nyara
ka ili iwe halali na uweze kuitumia sehemu mbalimbali mfano kwenye maombi ya passport, kuomba mkopo, kazi, mafao ya kustaafu nk. Hivyo Basi baada ya kupata deed poll yako unatakiwa uipeleke kwa msajili wa nyaraka (registrar of documents) ili iweze kusajiliwa na kutambulika katika matumizi mbalimbali.
Jinsi ya kusajili deed poll
Kipengle hiki kitaelezwa kwenye toleo lijalo. Usiache kusubscribe/follow na kushare ili uwe wa kwanza kujua jinsi ya kusajili deed poll na ntakuwekea na sample ya deed poll uweze kuiona.
Nyaraka ni wingi, waraka ni mmoja. Sasa inategemea hizo karatasi zinakuwa ngapi. Kama karatasi zinakuwa zaidi ya Moja ni sahihi kuita nyaraka. Ni kweli Kuna watu wanafanya makosa sana, mtu ametoa wimbo 1. Anasema nimetoa nyimbo. Wengine utasikia nachagua nyimbo ya Rozy muhando; Secret agenda uwe dedication kwa Bunge letu tukufu.hivi ni waraka au nyaraka?
Kwa nini mnatumia kiswahili khovyo khovyo mkuu.
Ohhhhoooo.....Naomba kujua ofisi za msajili za kanda ya kaskazini zipo mkoa gani nahitaji sana msaada nimeajiliwa August mpaka sasa sijapata salary,
Nchi gani hiyo?Nimewahi kuwauliza mawakili kuwa je, nikibadili jina, mabadiliko yata kwenda kufanywa mpaka kwenye certificates na other documents, akasema haiwezekani. Pia akasema nchi nyingine hawaruhusu kuingia kwao ukiwa na hayo majina mapya. Nilisitisha mchakato
[emoji3][emoji2][emoji2]hivi ni HOVYO HOVYO au KHOVYO KHOVYO? Kwanini mnatumia kiswahili HOFYO HOFYO???
Ilikuchukua muda gani kulifanikisha hilo?Sidhani kama unaweza badilisha jina kwenye vyeti. Kinachotokea, unapewa document inayoitwa Deed Poll ambayo inaonyesha jina la mwanzo na jipya, pamoja na picha yako.
Kwa hiyo vyeti vinabaki, madhara nadhani ni kulingana na sababu unayobadilisha jina ila vitu kama passport, vitambulisho itabidi kubadilisha pia.
Vyeti vya shule hubadilishi, ina maana, kila unapotuma maombi ya kazi uta attach Deed Poll pia.
Mimi nimebadilisha mwezi wa 11. Jina langu la passport (maana nilipata passport nikiwa mdogo) ni tofauti na jina la kwenye vyeti, na pia jina lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa ni tofauti na ninalotumia la ubatizo.