mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
Mkuu kazi inapendeza aisee. Ngoja mambo yakikaa sawa ntakutafta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni uchanganyaji wa hizo rangi na umwagaji wake,kama hujui zinabanduka kama yale mabati ya ''Tunakopesha''Ni Kweli mkuu! Na hii unaweza Ku apply hata kwenye floor ya Cement ya siku nyingi, muhimu Ni kuziba nyufa na matundu yote kabla ya Ku apply primer!
Mkuu issue si uchanganyaji wa rangi au umwagaji....muhimu kwanza ni kuhakikisha floor ni kavu na haina Oil, Au Grisi.....kama floor Ina hivyo vitu hata umwage kwa utaalam wa aina gani, hata uchanganye kwa utaalamu wa aina gani haitakupa matokeo mazuri, then floor ikiwa kavu bila mafuta unapiga msasa kuondoa tabaka flani la juu, baadaye unapiga Primer, ukipiga Primer it means umetengeneza uhusiano Kati ya floor na kitu unachotaka kuweka....then unaendelea na process zingine.....Shida ni uchanganyaji wa hizo rangi na umwagaji wake,kama hujui zinabanduka kama yale mabati ya ''Tunakopesha''
Asante Mkuu! Kwanza Epoxy unaweza Ku apply Iwe kweenye floor ya Cement, Ukutani, kwenye floor ya Mbao, na hata kwenye Mable ama Tiles, zipo Epoxy ambazo ni transparent so zitatengeneza mng'ao na effect tofauti utazoweka zitaleta kitu tofauti bila kuaribu mmwonekano wa mwanzo wa Mbao, Mable na vitu ka hivyo, kingine ni kuwa Epoxy unaweza Ku apply mazingira yoyote Yale, Subbureni, Gereji, Chumbani, Viwanja vya michezo hasa Volleyball na Basketball n.k......kuhusu kumudu mazingira ya Joto jikoni ni kwamba, Unaponunua Epoxy lazima ujue ni wapi unaenda kupaka, coz Epoxy zimetengenezwa tofauti ili kuweza kuhimili mazingira yote, Baridi kali, joto n.k.....so zipo Epoxy Special kwa Ku apply sehemu kama jikoni......na Kuna kiwango cha hari ya hewa ambacho Mtaalamu atahakikisha kinakuwepo ili kuapply Epoxy, baada ya hapo ije joto, ije mvua, ije baridi kali...floor yako ni salama!Hongera mkuu kwa kutujuza hayo maujanja ila mi niulize, ivi km utatengeneza kitchen countertop y floor na ukaipaka hizo rangi vipi itadumu kutokana na maji na joto o moto pale jikoni (majiko yatakuwa ni ya gesi na umeme tu)?, coz ctamani kuweka tiles jikoni.
Hao wana Epoxy resigard hp ambayo ni plain.... Hawana Metallic ambayo wateja wengi wanataka.Safi sana mkuu...kwa hapa bongo kuna kampuni tatu zinauza epoxy floor nabaki africa, sika na wazungu flani wapo mikocheni...tatizo hizi zao ni plain hazina urembo wowote,kwa kuongezea zinakua in a kit..hardener,color pack,base and powder..bei nadhani inakua kwenye laki 3 na kitu kwa kit moja na inapiga 7.5 sm
Mkuu! Kwa Epoxy kubanduka inategemea na Quality ya Cement floor yako...... Asilimia chache kutokana na ujuzi mdogo wa Installer!Shida ni uchanganyaji wa hizo rangi na umwagaji wake,kama hujui zinabanduka kama yale mabati ya ''Tunakopesha''
Ni miaka 3 sasa toka niweke hili Bandiko..... Kwa Kipindi chote hiki, nimefanya kazi nyingi sehemu tofauti kwa Watu Binafsi na kwenye Taasisi za Serikali hasa hizi Hospital mpya ambazo Zinajengwa nchi nzima zikiitwa Hospital za Magufuri.......Nimeipenda na ningependa kuifanya hii kitu kwangu naomba tuwasiliane
Picha za kazi zako hapa Tanzania tuone wadau
samahani pls call me at 0788504490Samahani kwa kuchelewa kuweka gharama hapa, Ni kutokana Na pilika za maisha, sasa nipo tayari, nataka nitumie lugha Na hesabu nyepesi kabisa Ili nipate kueleweka.....
Tuchukulie may be Sebure yako Ina ukubwa wa 120 square foot, ambapo Ni ukubwa wa wastani wa sebure nyingi, Materials cost itakua wastani wa 500,000
huku gharama za ufundi zikiwa wastani wa 700,000.
Hivyo ndo tuseme gharama zote kwa 1 Square foot Ni sawa Na 10,000.....kama ukubwa wa kazi yako unazidi Square foot 300 labda 500 ama 1,000 pia ntakupunguzia Na gharama kwa maana itakua chini ya 10,000 kwa square foot.
Kama sehemu yako inahitaji michoro tunaita broadcasting basi itategemea Na mchoro unaotaka, Kama Ni logo ya kampuni, hotel ama media house Na unataka ionekane kwenye floor pale mtu anapoingia Tu ndani, hivyo vyote Ni makubaliano, ama Ni michoro flani unataka ionekane kwenye floor za Lounge ama Night club au hata Sebureni vyote Ni kuelewana coz inategemea Na mchoro ama painting style unataka...
siwezi kumchora Mungu Tu vile sijawahi muona otherwise chochote unachotaka tunakifanya kwenye floor! Naimani mtakua mmepata picha, karibuni kwa maswali!