Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

hutyo herode si alikuwa mfalme wa Israel Mkuu-na kama ndivyo basi ni dhahiri alikuwa akiongoza weupe wenzake kwa maana hiyo waisrael ni weupe.sasa dhana na ya kuwa waisrael halisi walikuwa weusi inatoka wapi??
Huwajui watu weupe wewe jiulize kwa nini mpaka leo hakuna watu weusi argentina ila brazil wapo ilhali kote watumwa walipelekwa!
 
Mbona tunaambiwa mwili wake ukizikwa kesho yake hujitokeza. KAMA sio kweli kwanini asizikwe sasa

Naomba majibu tafadhali
So na wewe unaamini huo upumbavu!?


hutyo herode si alikuwa mfalme wa Israel Mkuu-na kama ndivyo basi ni dhahiri alikuwa akiongoza weupe wenzake kwa maana hiyo waisrael ni weupe.sasa dhana na ya kuwa waisrael halisi walikuwa weusi inatoka wapi??
Umesha ambiwa kuwa alikuwa na great empire means utawala wake ulikuwa unatawala kuanzia misri mpaka hayo mataifa mengine Israel ilikuwa ni sehemu ya koloni la misri


Herode na pharaoh ni watawala wawili tofauti
 
Soma tena hapo juu, amesema mwili wake upo hadi sasa sababu ya kumbukumbu! na si yeye tu kuna miili mingine mingi ipo kwenye Majumba ya makumbusho ya Egypt!
Ishaandikwa hatazikwa
Ndiomaana walimzika yakatokea matetemeko tuseme akafufuka
Ndiowakaona ni bora wasimzike
Hata wakimzika kesho asubuhi basi jioni kitawaka tena then ataibuka tena...
Sisi waislam tunaenda na mwongozo wa Quran tukufu
Yeye anakuja na hoja nyepesi kabisa zisizo na mashiko....
Kama lengo lilikuwa ni kumuweka makumbusho mbona asingewekwa miaka yote hiyo tangu alivyokufa?
Kwanini wamzike wezi sijui wakaibe then wamtoe wakamzike kwengine litokee tetemeko afufuliwe tena akawekwe makumbusho...
Mwisho wa siku ni mpango wa Mungu kwasababu alishasema kwenye Quran tukufu...
Kama kweli wanaweza kupingana na Kauli ya Mungu wamzike 😀😀
 
Back
Top Bottom