Ijue historia ya Firauni na uongo uliozushwa

Ijue historia ya Firauni na uongo uliozushwa

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949
FB_IMG_1591420391666.jpg

Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese.

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake.

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PhD. Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani.

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi! Yote ni kwa sababu binadamu wengi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?
Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.

Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa.

Huku mwili wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

Historia yake kwa Ufupi
Ramesses II, au kwa jina jingine Sese alikuwa ni mfalme wa pili wa Uzao wa 19 wa familia ya kifalme. Na alikuja kuwa miongoni mwa Mapharao wenye nguvu kuwahi kuwepo Misri.

Ramesses II alipewa kiti cha Ufalme mapema kwenye umri wa miaka 20 na akaongoza (kati ya mwaka 1279 BC) hadi alipofariki miaka 67 baadae (1213 BC) kwa maradhi ya mishipa, na ini.

Aliongoza Misri kwa miaka 67 akiwa ni wa pili kuongoza kwa kipindi kirefu zaidi katika historia ya mapharao.

Mbali na Vita Ramses II anakumbukwa mno katika juhudi za utunzaji wa Historia ya Misri katika mahekalu ya Ramesseum pamoja na Abu Simbel.

Kwa kumbukumbu nyingi muhimu zilizomo katika mahekalu haya kwa sanamu, zana za kale, michoro na maandishi zinamfanya Ramsess kuwa mmoja wa mapharao muhimu wa misri ya kale.

Jeshi la Rammeses lilisaidia kulinda mipaka ya Misri kutoka kwa wavamizi na majambazi katika Meditrenian na Libya pia kutoka Hittites na Nubians.

Pia Alifanya kampeni za kurudisha ardhi iliyokuwa imeporwa na wavamizi kwa kusign mikataba ya amani kabla ya kutumia nguvu kuwapiga.

Katika historia Ramesses alishindwa vita moja tu! vita inayokumbukwa sana ni ile iliyofanyikia Kadesh (Syria ya leo) ambayo ilifanyika mwaka 1274 BC dhidi Wahiti. Ilikuwa ni vita kubwa iliyotumia zana za kisasa zaidi wakati huo katika historia ya vita za kale. Rameses alifanya makosa kwa kugawa vibaya vikosi vyake kitu kilichofanya moja ya kikosi kufyekwa chote! Hatimaye mpinzani akajitangazia ushindi na Ramesses ikampasa arudi nyuma sababu ya kujiandaa kubaya na matatizo ya vifaa.

Dhana iliyozushwa juu ya kifo chake
Vitabu kadhaa vya Dini kama vile Bible na Quran vimekuwa vikizungumzia kifo chake katika hali ya kushangaza!
Wao hudai kuwa Ramesses au Sese alifia kwenye maji wakati akiwafukuza waisrael.

Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi! ya kibinadamu.

Moja ya ushahidi ni wa Mwili/mummy wa Sese ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa!
Pia jambo jingine la kujiuliza ni kuwa Kina Musa wakati wakimkimbia Ramesses na kuwa wameshafanikiwa kuvuka bahari, huku nyuma waliwezaje kumuona Ramesses katikati ya kikosi cha askari wa Misri akifa maji!?

Hayo ni mambo yanayowatatiza wengi, huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Ramesses mwili wake huwa hautaki kuzikwa.

Huyu Ndo Great Ramesses II au Sese mmoja wa Mapharao Muhimu zaidi Egypt ya kale na leo katika historia.
 
Nimeona hapo juu kwamba alianza kuongoza mwaka 1273 BC mpaka 1213BC why sio 1213BC mpaka 1273BC?
Kusema BC )-kabla ya Kristo ndiyo inafanya miaka ipungue. Mfano (si halisi) Nyerere alizaliwa miaka 43 kabla ya Uhuru na kuoa miaka 3 kabla ya Uhuru. Utaona jinsi miaka ilivyopungua kwa kuwa kadri ya tukio linavyokaribia ndivyo muda wa kulisubiri unapungua.

Baada ya tukio la kuzaliwa kwa Yesu ambalo huwa ni makadirio tu wala si kwamba alizaliwa mwaka sifuri, ndipo tunaanza kuhesabu kwa kuongeza muda. Mfano, Nyerere akapata mtoto miaka 3 baada ya Uhuru na mwingine miaka 7 baada ya Uhuru.

Siku hizi hatutumii before Christ (BC) wala Anno Domino (AD)- baada ya Kristo. Hii ni kwakuwa si kila mtu ni Mkristo, ukitumia rejea hii ni kama kutukuza Ukristo. Sababu zilezile zilizofanya Red Cross wasitumie msalaba kwenye nchi za Kiislamu bali watumie crescent.

Kurejea muda tunatumia Before Common Era (BCE) na Common Era (CE).
 
Hiyo story hata ukiisoma kwenye biblia unashtuka. Eti pharaoh alikufa na wanajeshi wake baharini. Wale Wayahudi hawakuwa na silaha kwa hiyo hakuna ulazima wa kumfanya awafate na jeshi lake. Ilikuwa ni kutuma majeshi kiasi wawarejeshe. Na historia Misri sijui kama kuna vita farao aliingia front line.

Sema ningekuwa farao ningefanya kinyume, ningefukuza Wayahudi wote badala ya kuwalilia. Wale watu hawaaminiki popote duniani, yani Watutsi wa hapa ni mfano wao wa mbali sana.

Hata Hitler alikuwa na hakika hawa watu ni parasites (sikubali alichowafanyia), ukitaka kubisha watazame wanachofanya pale Middle East wakati ni wa kuja tu. Nchi yao hawataki kuchangamana, hawataki kuoleana jamii nyingine, hawataki waamiaji, wakiishi nchi nyingine wanaanzisha vyama vya kujitenga na kutetea upuuzi wao. Kule Argentina wana establishment, kule Syria walikuwa nayo, Misri yenyewe wapo na wanasumbua intelligence yao mno, hata wimbo wao wa taifa Hatikva ulitumika tangu Switzerland uko na Hungary miaka ya 1880s wakati nchi ilikuja kuwepo 1948.

Wayahudi wakikaa popote duniani ujue wao si raia wako, ndo maana Myahudi yeyote anaweza enda Israel na kupokelewa hata kama kizazi chake kiliishi Tanzania miaka 300 iliyopita. Wakiwa nchi yoyote wanajifunza lugha yao, hata ufanye nini huwazuii na ni wabishi, wenye tamaa ya utawala. Ukiwa nao kwenye nchi yako wanaweza shirikiana na adui wako au wasiunge mkono nchi ikivamiwa.

Ukisema uhalisia huu hadharani unaitwa 'antisemite', kubagua Wayahudi ni antisemitism na utapingwa vibaya mno na dunia nzima na kila chombo cha habari. Kama ni msanii unaweza usipate tour au show yoyote tena wala tuzo.
 
Ni changamoto kidogo kuchanganya historia ya vitabu vya dini na historia ya vitabu vya binaadam

Ila kuna vitu kidogo vinanitatiza katika hu Uzi wako hebu nifahamishe

1) Nasikia misri walipita mafarao wengi kwa nini wewe umemchagua huyo Ramesses

2) Je! Huyo Ramesses ndio aliye kuwepo kipindi cha Mussa na kama ndio kwa ushahidi upi?

3)Huyo Ramesses alikuwepo miaka ya 1200BC

Sasa mbona historia zinasema Mussa alikuwepo miaka 2000BC?
 
Kuna historia nyingine kuuficha ukweli, nyingine kumdidimiza mweusi na nyingine kumkweza mzungu. Na nyingine kuficha ukuu wa Mungu.
 
Watu hawajui kuwa generation ya 19 ya utawala wa misri,iluhusisha wafalme weusi,na hii nu kwasababu misri kipindi hicho ilukuwa imekuw occupied na utawala wa Cushite Kingdom kutokea kusini, namely Sudan.

Hata hii term farao ndo ilitumika kipindi cha wacush wakitawala na sio enzi za moses
 
AD na BC Ni wanahistoria walianzisha tu lakini huwezi kuhesabu miaka kurudi Nyuma. Mwaka Ni muda haurudi Nyuma Bali inaenda mbele na kusonga mbele.
Suala la muda ni dhana tu mwanadamu kujiwekea ratiba muda ni dhana hauendi mbele wala nyuma upo palepale maisha yetu ndio huanza na kuisha, hapa ndio muda huonekana unaenda mbele lakini ukweli muda unabakia kuwa dhana ya kinadharia upo tu hauna mbele wala nyuma.
 
Unashangaza sana na histori yako new model yani tukuamini we nani hasa yani tuache kumuamini aliye muumba huyo farao ndio anasema alikufa maji tukuamini ww
 
Unashangaza sana na histori yako new model yani tukuamini we nani hasa yani tuache kumuamini aliye muumba huyo farao ndio anasema alikufa maji tukuamini ww
Biblia hujui Kama ime-editiwa? Believe what you know and what you understandand not what you inherited from your parents.. wake up you little punky
 
Huyo ni Firaun ni Binadam aliekufuru sana na akapinga uwepo wa Mungu na akawaambia watu wake kuwa hakuna Mungu ila yeye ndiyo Mungu tena Mungu mkuu, Ardhi imiekataa kumuweka ndani ya tumbo lake kwa kufuru alizo zifanya, na Mungu amemuweka hadi leo kuwa ni funzo kwetu.
 
Hiyo story hata ukiisoma kwenye biblia unashtuka. Eti pharaoh alikufa na wanajeshi wake baharini. Wale Wayahudi hawakuwa na silaha kwa hiyo hakuna ulazima wa kumfanya awafate na jeshi lake. Ilikuwa ni kutuma majeshi kiasi wawarejeshe. Na historia Misri sijui kama kuna vita farao aliingia front line.
Sema ningekuwa farao ningefanya kinyume, ningefukuza Wayahudi wote badala ya kuwalilia. Wale watu hawaaminiki popote duniani, yani Watutsi wa hapa ni mfano wao wa mbali sana.

Hata Hitler alikuwa na hakika hawa watu ni parasites (sikubali alichowafanyia), ukitaka kubisha watazame wanachofanya pale Middle East wakati ni wa kuja tu. Nchi yao hawataki kuchangamana, hawataki kuoleana jamii nyingine, hawataki waamiaji, wakiishi nchi nyingine wanaanzisha vyama vya kujitenga na kutetea upuuzi wao. Kule Argentina wana establishment, kule Syria walikuwa nayo, Misri yenyewe wapo na wanasumbua intelligence yao mno, hata wimbo wao wa taifa Hatikva ulitumika tangu Switzerland uko na Hungary miaka ya 1880s wakati nchi ilikuja kuwepo 1948.

Wayahudi wakikaa popote duniani ujue wao si raia wako, ndo maana Myahudi yeyote anaweza enda Israel na kupokelewa hata kama kizazi chake kiliishi Tanzania miaka 300 iliyopita. Wakiwa nchi yoyote wanajifunza lugha yao, hata ufanye nini huwazuii na ni wabishi, wenye tamaa ya utawala. Ukiwa nao kwenye nchi yako wanaweza shirikiana na adui wako au wasiunge mkono nchi ikivamiwa.
Ukisema uhalisia huu hadharani unaitwa 'antisemite', kubagua Wayahudi ni antisemitism na utapingwa vibaya mno na dunia nzima na kila chombo cha habari. Kama ni msanii unaweza usipate tour au show yoyote tena wala tuzo.
Wewe uko chaka zaidi! fungua akili hiyo! uende pamoja na wenzako! Kama ulilishwa matango pori huko kanisani kwenu basi wewe umevembewa, zama za giza hata mimi nilikuwa ivo!!!! sikia dogo Khazars asili yao ni North Caucasus Mt, yaani Matajiri wale! Notorious slave traders? au lugha nyingine slave masters awe yahudi?? siyo wayahudi. wanajipendekeza tu kwenye uyahudi, lkn hauwahusu wala hawapendezei kuitwa hivyo! Historia haiswii kwao! Kama pale ni asili ya kwao kwa nini wanaongoza kuugua Cancer ya ngozi Duniani, kila mwaka kutokana na Utra violet, ukilinganisha Mayahudi original ambayo hayaugui?

Myahudi wa kweli alitumikishwa km mtumwa na ni mtumwa mpaka leo, watu wateule wa Mungu wamehusishwa na utumwa sana Duniani , tabu tabu nyingi, mashaka, but ni wachapa kazi kufuru, akikmata mraba humshiki!!! ni Maskini hohehahe! ambao ndiyo Hiyo kanuni ya Anti- Semitism unayoisema inafaaa wapewe wao, But wameporwa haki zote za msingi na kila kitu, hata za kunyanyasika, kubaguliwa wamepewa wengine, hawapendwi Duniani kote, tena bila sababu, wanachukiwa tu, eti waonekane hao Khazars ndiyo wanaonewa kuliko Yahudi mwenyewe, na Historia itaandika kwamba waliuawa Mill 6. na Manazi, yaani eti huyo Hitre alimuua Tajiri anaye endesha uchumi wa serikali yake??? Thubutu!!!!

Leo hii Nani asiye mpenda huyo Muisrael wako unaye msema? mataifa yote ya NATO members, yana muabudu mkimbilia na kumuunga mkono, hata Waarabu wenyewe kama Saudia, Jordan, Mamood Abbas, Mfalme Abdullah wanampenda Muisrael wa kisasa ni usipime, wanampenda haswa!!! hiyo Antisemism yao karibu inafifia haifanyi kazi!

Utumwa walio nao wayahudi original ni kwa sababu ya uasi wa sheria ya Mungu na walio wengi (wayahudi) hawajitambui, ni nini chanzo cha shida zao, na hawatambui kuwa ni wateule wa Mungu km wewe usivojitambua. kifupi wamepigwa changa la macho miaka mingi hawaoni wala hawasikii, na wanashangilia kuwa hivyo kama wajinga. kwa hayo wanayofanyiwa. wachache sana km, Nyerere, Malcom x, Nyarusare. Martin Luther King jr, kidoogo Magu nk, wanajitambua. Upo hapo?
 
Wewe uko chaka zaidi! fungua akili hiyo! uende pamoja na wenzako! Kama ulilishwa matango pori huko kanisani kwenu basi wewe umevembewa, zama za giza hata mimi nilikuwa ivo!!!! sikia dogo Khazars asili yao ni North Caucasus Mt, yaani Matajiri wale! Notorious slave traders? au lugha nyingine slave masters awe yahudi?? siyo wayahudi. wanajipendekeza tu kwenye uyahudi, lkn hauwahusu wala hawapendezei kuitwa hivyo! Historia haiswii kwao! Kama pale ni asili ya kwao kwa nini wanaongoza kuugua Cancer ya ngozi Duniani, kila mwaka kutokana na Utra violet, ukilinganisha Mayahudi original ambayo hayaugui??

Myahudi wa kweli alitumikishwa km mtumwa na ni mtumwa mpaka leo, watu wateule wa Mungu wamehusishwa na utumwa sana Duniani , tabu tabu nyingi, mashaka, but ni wachapa kazi kufuru, akikmata mraba humshiki!!! ni Maskini hohehahe! ambao ndiyo Hiyo kanuni ya Anti- Semitism unayoisema inafaaa wapewe wao, But wameporwa haki zote za msingi na kila kitu, hata za kunyanyasika, kubaguliwa wamepewa wengine, hawapendwi Duniani kote, tena bila sababu, wanachukiwa tu, eti waonekane hao Khazars ndiyo wanaonewa kuliko Yahudi mwenyewe, na Historia itaandika kwamba waliuawa Mill 6. na Manazi, yaani eti huyo Hitre alimuua Tajiri anaye endesha uchumi wa serikali yake??? Thubutu!!!!

Leo hii Nani asiye mpenda huyo Muisrael wako unaye msema? mataifa yote ya NATO members, yana muabudu mkimbilia na kumuunga mkono, hata Waarabu wenyewe kama Saudia, Jordan, Mamood Abbas, Mfalme Abdullah wanampenda Muisrael wa kisasa ni usipime, wanampenda haswa!!! hiyo Antisemism yao karibu inafifia haifanyi kazi!!!

Utumwa walio nao wayahudi original ni kwa sababu ya uasi wa sheria ya Mungu na walio wengi (wayahudi) hawajitambui, ni nini chanzo cha shida zao,.. na hawatambui kuwa ni wateule wa Mungu km wewe usivojitambua. kifupi wamepigwa changa la macho miaka mingi hawaoni wala hawasikii, na wanashangilia kuwa hivyo kama wajinga. kwa hayo wanayofanyiwa. wachache sana km, Nyerere, Malcom x, Nyarusare. Martin Luther King jr, kidoogo Magu nk, wanajitambua. Upo hapo?
Nimekupata myahudi mwenzangu original
 
Wewe uko chaka zaidi! fungua akili hiyo! uende pamoja na wenzako! Kama ulilishwa matango pori huko kanisani kwenu basi wewe umevembewa, zama za giza hata mimi nilikuwa ivo!!!! sikia dogo Khazars asili yao ni North Caucasus Mt, yaani Matajiri wale! Notorious slave traders? au lugha nyingine slave masters awe yahudi?? siyo wayahudi. wanajipendekeza tu kwenye uyahudi, lkn hauwahusu wala hawapendezei kuitwa hivyo! Historia haiswii kwao! Kama pale ni asili ya kwao kwa nini wanaongoza kuugua Cancer ya ngozi Duniani, kila mwaka kutokana na Utra violet, ukilinganisha Mayahudi original ambayo hayaugui?

Myahudi wa kweli alitumikishwa km mtumwa na ni mtumwa mpaka leo, watu wateule wa Mungu wamehusishwa na utumwa sana Duniani , tabu tabu nyingi, mashaka, but ni wachapa kazi kufuru, akikmata mraba humshiki!!! ni Maskini hohehahe! ambao ndiyo Hiyo kanuni ya Anti- Semitism unayoisema inafaaa wapewe wao, But wameporwa haki zote za msingi na kila kitu, hata za kunyanyasika, kubaguliwa wamepewa wengine, hawapendwi Duniani kote, tena bila sababu, wanachukiwa tu, eti waonekane hao Khazars ndiyo wanaonewa kuliko Yahudi mwenyewe, na Historia itaandika kwamba waliuawa Mill 6. na Manazi, yaani eti huyo Hitre alimuua Tajiri anaye endesha uchumi wa serikali yake? Thubutu!

Leo hii Nani asiye mpenda huyo Muisrael wako unaye msema? mataifa yote ya NATO members, yana muabudu mkimbilia na kumuunga mkono, hata Waarabu wenyewe kama Saudia, Jordan, Mamood Abbas, Mfalme Abdullah wanampenda Muisrael wa kisasa ni usipime, wanampenda haswa!!! hiyo Antisemism yao karibu inafifia haifanyi kazi!!!

Utumwa walio nao wayahudi original ni kwa sababu ya uasi wa sheria ya Mungu na walio wengi (wayahudi) hawajitambui, ni nini chanzo cha shida zao,.. na hawatambui kuwa ni wateule wa Mungu km wewe usivojitambua. kifupi wamepigwa changa la macho miaka mingi hawaoni wala hawasikii, na wanashangilia kuwa hivyo kama wajinga. kwa hayo wanayofanyiwa. wachache sana km, Nyerere, Malcom x, Nyarusare. Martin Luther King jr, kidoogo Magu nk, wanajitambua. Upo hapo?
Mkuu hata kupangilia sentensi hujui, kuandika maneno na majina kwa usahihi hujui then unakuja na kelele nyingi kuwa sijitambui?

Yani unataka nijifungue akili kwa maandiko yako yanayoonekana yametolewa na layman. Na nani kakwambia nimeyasoma kanisani? Lakini ni kawaida ya Wayahudi ku-counter accusations kwa story za kupika na kulisha watu kama ulizonazo.
 
Nimekupata myahudi mwenzangu original
Hakuna Myahudi mweusi, hizo kwa Kiswahili cha mtaani tunaita "shobo". Na wao hawapendi kushobokewa kabisa, ukienda kwao utawekwa kambini maana wewe kwao ni mpuuzi tu mbele yao. Kama Waethiopia ambao wana damu yao wanakataliwa haki zao sembuse wewe Mmasai sijui Mndendeule ndio ujikute ndugu yao.
Na kama wewe Mkristo, hawapendi shobo zetu wala hawana time na sisi. Kwanza Yesu kwao sio Mungu wala mwana wa Mungu wala Messiah, Yesu alikuwa ni raia maarufu tu kwao.
 
Back
Top Bottom