Ijue historia ya Firauni na uongo uliozushwa



Aisee !!😌
 
Akikujibu nitag
 
kuandika maneno na majina kwa usahihi hujui then unakuja na kelele nyingi kuwa sijitambui?
Jina gani sijaliandika kwa usahihi? sentensi ipi nimeshindwa kuipangilia kwa usahihi? JF kuna waelewasana kuliko unavodhani, km ulitaka nikutajie nilicho kitaja ka mwl wa UPE, hapa hapakufai utakunywa sumu bure,
na kama utani- judge kuwa mimi ni layman wakati hujui my Level of Matriculation siyo sahihi! umekusudia kuropoka tu dogo ajili ya jazba! Kama unavo wapigia debe hao majuha wa Middle East.
 
Mamood[emoji777]
Mahmoud (Abbas)[emoji818]
Hitle[emoji777]
Hitler (Adolf)[emoji818]
 
Unashangaza sana na histori yako new model yani tukuamini we nani hasa yani tuache kumuamini aliye muumba huyo farao ndio anasema alikufa maji tukuamini ww unaeenda chooni kunya
Kwani kwenye hivyo vitabu vitakatifu Kuna "Aya" au "andiko" lolote kuna saini ya mungu kudhibitisha kwamba hiyo Aya au andiko hilo kaandika mungu na si wanadamu mkuu[emoji846]

Sent from my itel S32 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ni mahesabu rahis sana hayo?bc means kabla ya kristo.
..so kadi ujio wa yesu unavyokaribia miaka ilizid kupungua.cjui km umenipata!!
 
Aisee !!😌
Ni kweli,,terminology ya Farao,ilianza kutumika misri wakati wa Nineteen dynast,,hii ilikuwa ni baada ya misri kutekwa na cush kingdom from Meroe ,Sudan
 
Nimeona hapo juu kwamba alianza kuongoza mwaka 1273 BC mpaka 1213BC why sio 1213BC mpaka 1273BC?
... tatizo hakuna anayejua exactly dunia/miaka ilianza lini ili tuanze kuhesabia miaka kutokea huko. Ingejulikana kwa mfano siku ya kwanza ya dunia ilikuwa 1 Januari 0001 na hadi leo imepita miaka say 502,020 tangu siku hiyo ya kwanza leo ingekuwa tarehe 10 Julai 502,020; shida ndio hiyo the very first day isn't known!

Na kwa kuwa kuhesabu siku inahitaji reference point, wataalamu wakaamua siku inayojulikana zaidi na wengi ni siku Mwokozi wa Ulimwengu yaani Yesu Kristo wa Nazareth katika nchi ya Yuda alipwasili duniani ndio ikaamuliwa iwe reference point ikahesabiwa zero. So, matukio yote yaliyotokea kabla ya Yesu Kristo kuja duniani yakahesabiwa kuanzi hapo (zero) kurudi nyuma (BC) na yaliyotokea baada ya hapo yakahesabiwa kwenda mbele (AD or After Christ). Kama umesoma japo hesabu ya darasa la tano na siku mwalimu anafundisha topic ya NUMBER LINE hukuwa uwanjani unacheza, hii kitu ni rahisi sana Mkuu.

Anyway, dini na tamaduni nyingine kwa kuona na kuiga style hiyo wakaamua nao kuanzisha kalenda zao with their own reference points - mf. Kalenda ya Kiislamu, n.k. Wengine, wanatumia BC/AD ila ili kutojinasibisha sana na kinachoonekana kama "Kalenda ya Kikristo" wakaamua kuongeza BCE/ACE yaani Before Common Era na After Common Era japo reference points ni zile zile za BC (Before Christ) na AD (Anno Domino/Mwaka wa Bwana/After Christ).
 
Kinacho nichanganya mimi mbona haozi.
Wataalamu wanaita 'mummification' aina flani ya ku preserve mwili wa kiumbe usiharibike karne na karne. Ilitumiwa na ancient Egypt kuzika viongozi wao. Na hakuwa Pharaoh peke ake, miili mingi ya dizain Ile iligundulika kweny mapiramidi.
 
Leta ushahidi unaoonyesha kuwa Biblia nayo ilipotosha historia ya huyo Filauni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…