Siku zote ulikuwa hulijui hilo?
Makaburi yote mijini yapitishwe grader yanaharibu taswira ya mji. Eti kumbukumbu inatusadia nini?
Huu uzi naona umeanzishwa na Yericko Nyerere,halafu ukija post #6 na #20 walio quote post #1 ina onekana uzi umeandikwa na Jason Bourne,au yericko ndio jason?
Pamoja na zindiko mbona timu yenyewe haijawahi kutoka nje ya Afrika mashariki?Kawaulize wanacham wa Yanga nasikia huwa wanenda kufanya zindiko pale kabla ya mechi na Simba.
Waungwana kwa yeyote anaejua vizuri jiji la dar maeneo ya posta kuna kaburi moja tu la kipekee makutano ya samora street na india street karibu na clock tower, pembeni kidogo kuna bank ya NMB, Jmoo au maarufu kama harbour view!
Pana kontena la voda hivi! Hili kaburi nimejaribu kwa mda mrefu kuwauliza wale wanaoshinda eneo hilo hasa madereva tax wamesema hawajui ni la nani!Sasa ndugu wana jf kwa yeyote anaejua juu ya kaburi hili tena limejengwa kwa marumaru nyeupe anipe ufafanuzi!Je lina uhusiano wowote na ukombozi wa taifa hili?
Je lina uhusiano wowote na jiji la dar? Je lina uhusiano wowote na ccm -majangili-mamafia-mumiani?
Natumia simu ningeweza kupost na picha yake ila kama kuna mdau aliyejirani na eneo hilo anaeweza kupost picha naomba afanye hivyo!
Uislamu nijuavyo ulianzia kule Kilwa iweje huyu mtz azikwe pale? Je huko kilwa hakuna watz wa mwanzo kabisa walioamini uislamu? Kwanini waislamu hawamuenzi Imam wao wa mwanzo badala yake wanakaa kueneza udini kupitia kwa Alhaj JK mkweree?
Wewe Yericko Nyerere/ Jason Bourne,lengo la uzi wako sio kujua uwepo wa kaburi bali ni dini ya aliyezikwa kwenye kaburi. Mmemsakama weee Zitto kwa sababu ya dini yake,na sasa umeona haitoshi mpaka uhoji na waliozikwa kwenye makaburi!
Hebu hoji basi na uwepo wa msikiti wa India katikati ya Posta kwamaana nayo ni identity ya uislam. Chuki dhidi ya uislam na waislam haitakupa mchango wowote katika jamii labda ni ndani tu ya chama chenu. Ama ulitaka azikwe Nyerere pale?
Wewe mpuuzi kweli, thread ya mwaka 2011 na mambo ya Zitto wapi na wapi?
Jason bourne, asante kuulizia makaburi kati kati ya jiji, nenda na pale Jengo la Utumishi, opposite Feri, next to Ikulu, utakuta makaburi lukuki. Wizara ya Tamisemi jijini ina makaburi kibao, pia kaulize ni ya nani?.
Mimi nalijua vizuri sana lipo maeneo ninako ishi. Marehemu ni MTANZANIA wa kwanza kuwa IMAMU ktk miaka hiyo ya 1800. Usisahau maunganisho yale ni ya mitaa ya Msikiti na India na yanaendelea hadi Samora. Jina lake silikumbuki. Asante. kaburi hili limekuwa kama limetupwa lakini ni historia nzuri sana. Japo linatunzwa hakuna kibao chochote cha kuonyesha historia ya IMAMU wetu huyu.
Uislamu nijuavyo ulianzia kule Kilwa iweje huyu mtz azikwe pale? Je huko kilwa hakuna watz wa mwanzo kabisa walioamini uislamu? Kwanini waislamu hawamuenzi Imam wao wa mwanzo badala yake wanakaa kueneza udini kupitia kwa Alhaj JK mkweree?