Hapa umejibu point, chunga usitumikeKuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.
Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.
Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).
Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?
"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.
Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Huyu jamaa alikua mzungu.....German Jewish.....Ottomanism ilikuja when he started working for the Ottoman Empire and adopting Mehmet Al-Amin name.Kuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.
Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.
Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).
Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?
"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.
Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Huyu jamaa alikua mzungu.....German Jewish.....Ottomanism ilikuja when he started working for the Ottoman Empire and adopting Mehmet Al-Amin name.
Usijali nadhani hapo zamani mtu kuwa na ngozi ambayo si nyeusi uliitwa Mzungu/Mwekundu. Siku hizi ndipo tunatofautisha baada ya dunia kuwa kijijiKuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.
Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.
Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).
Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?
"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.
Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Usijali nadhani hapo zamani mtu kuwa na ngozi ambayo si nyeusi uliitwa Mzungu/Mwekundu. Siku hizi ndipo tunatofautisha baada ya dunia kuwa kijiji
Naogopa kujadili nisilolijua. Nilichangia kuhusu uzungu kwa sie waafrika hata watu wenye ngozi kama Mzee Kitilya zamani huku kwetu Uru tuliwaita wekundu/wazungu inagawa ni wachaga wenzetu. Hayo ya dini na kusilimu nawaachia nyie wajuvi wa masuala hayo.Si kweli.
Mzungu aliwakuta watu weupe wengine Afrika, sidhani kama na wao waliitwa wazungu.
Tuachane na hilo na tuendelee, jee, alkuwa nani huyo? Ni mzungu aliyesilimu au?
Naogopa kujadili nisilolijua. Nilichangia kuhusu uzungu kwa sie waafrika hata watu wenye ngozi kama Mzee Kitilya zamani huku kwetu Uru tuliwaita wekundu/wazungu inagawa ni wachaga wenzetu. Hayo ya dini na kusilimu nawaachia nyie wajuvi wa masuala hayo.
Kagera uislam ni asilimia 0.001 na wenzangu watasema kama nadanganya.Chachu Ombara,
Ningependelea kusikia historia ya Uislam Kagera.
Maana kuna majina umeyataja hapo niyajuavyo ni ya Kiislam, mfano hilo Emin Pasha na nnawafahamu akina Kaitaba ambao ni Waislam.
Isitoshe kuna watu wengi wa Kagera ambao ni Waislam, unaweza kutupa hayo kidogo?
Kagera uislam ni asilimia 0.001 na wenzangu watasema kama nadanganya.
Kama kawaida yako lazima uchafue hali ya hewa na udini?punguza uarabuKuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.