Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa haya maelezo sana yana ukwelimicro-chip huu ni mpango wa zamani sana asilimia kubwa ya watu wote duniani wameshawekewa hii micro-ship kwa ujanja ujanja na kila mtu anaonekana kwenye computer ya dunia
na kipindi cha new world order hii microchip ndio itatumika kucontrol akili za watu mfano mtu anweza letewa mawazo ya kujiuwa n.k
Nishaipitia mkuu, ni kali sana Kingsman vs Statesmanaisee pitia na kingsman golden circle imeelezwa vizur
Nishaipitia mkuu, ni kali sana Kingsman vs Statesman
Kuna jamaa anaitwa Whiskey na Tequila
Mara nyingi huwekwa Shingoni kwa nyuma au Begani sehemu inapochomwa Sindano ya Ndui au kwenye Kidole cha Mikono............!!!! Hakiumi ni kama umepigwa Mkwaruzo fulani.........inawekwa na Pampu maalumuAcha uwongo wewe bora ungekaa kimya kuliko kuleta hadithi zako za kwenye gahawa.
Watu wangekubali ingekuwa hivyo ila baada ya hiyo microchip kupata upinzani ndio wakaamua kuwawekea watu kwa lazima na njia ndio hiyoKifaa hiki kina uhusiano gani na 666?
Kwani hakiwezi kuvaliwa sehemu nyingine(kama saa ya mkononi) bila kuingizwa ndani ya mwili
Mkuu, inaingia kwa njia ya chakula then inapandisha kwa paji la uso!! Mmmhh!!Uhusiano wa hiki kifaa na 666 ni katika mfumo mpya wa dunia (NWO) ambapo moja ya agenda zako kwenye huo mfumo kuna kutumia 1 currency ambayo ni dollar ambayo itakuwa sio kwa mfumo wa coin wala note, ili u draw hela benki huitaji card yake ambapo lazma uwe na hiyo chip ambayo ikiingia mwilini sio rahisi kuonekana tena pamoja na hiyo chapa ya 666 kwa nje,
Agenda yao ya pili ni kupunguza idadi ya watu duniani ili wabaki wachache na kuwa easy for them to control the world easily, hiyo chip ikisha ingia kwenye mwili wa binadamu inapeleka taarifa kwenye vituo vyao kuwa kuna mtu ameshaingia kwenye mfumo wao na mtu anakuwa controlled wanavyo taka wao, wakitaka kumuua mtu, kujua taarifa zote za mtu tangu anazaliwa na kilakitu na hizi chip zinaingia kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya kutobolewa kiganja na kupitishwa au kwa njia ya kula ambapo mara nyingi huwaga wanaweka kwenye dawa za tiba za msaada na kuwapelekea victims.
Chip zinazo wekwa kwa njia ya mkono zinabaki hapo hapo ila kwa njia ya chakula zikiingia mwilini zinaenda direct kukaa keen he paji la uso, kufungwa nje ya mwili hiki kifaa inakuwa haina topauti na mtu aliye kishika, haina madhara, ni hadi iwe internal ili iweze kusoma na Ku process data vizuri,
Huu ni mpango wa NEW WORLD ORDER na ndio maana wanataka kuwanyangaya raia wote silaha ili kuondoa upinzani wwte ule.hii inamaanisha kutakua na monitoring ya binadamu wte duniani. Hivyo mpinga kristo atafanikiwa km biblia isemavyo hutanunua wala kuuza km huna chapa ya mnyama. Angalia mambo ya electronic money transfer tgopesa, mpesa huu ni mpango unaitwa ELIMINATION OF CASH MONEY. kuna mambo mengi inahitaji utulivu kuyaeleza vzr.Kifaa hiki kina uhusiano gani na 666?
Kwani hakiwezi kuvaliwa . sehemu nyingine(kama saa ya mkononi) bila kuingizwa ndani ya mwili
funguka zaidi mkuu tupate elimuHuu ni mpango wa NEW WORLD ORDER na ndio maana wanataka kuwanyangaya raia wote silaha ili kuondoa upinzani wwte ule.hii inamaanisha kutakua na monitoring ya binadamu wte duniani. Hivyo mpinga kristo atafanikiwa km biblia isemavyo hutanunua wala kuuza km huna chapa ya mnyama. Angalia mambo ya electronic money transfer tgopesa, mpesa huu ni mpango unaitwa ELIMINATION OF CASH MONEY. kuna mambo mengi inahitaji utulivu kuyaeleza vzr.