Ijue JamiiForums na Historia yake

Ijue JamiiForums na Historia yake

Tuwapongeze wanzilishi enzi zetu mambo yote mazito mazito tuliyapata hapa nakumbuka jamii forum ilianza kupoteza heshoma yake baada ya vijana wa lumumba kujisajili walifanya hivyo kwa kazi maalumu.

Baada ya kushindwa hoja wakataka ifungiwe.
 
Naomba nifikishie ujumbe huu kwa muheshimiwa Maxence Melo
Naomba ifunguliwe thread maalum au kichwa cha habari kikubwa mfano kwa hivi tunavosema Jukwaa la siasa au Habari mchangangiko
Jukwaa hili lipewe jina maaluma linalofaa kwa ajili wa watu kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu
 
exactly
 
Tuwapongeze wanzilishi enzi zetu mambo yote mazito mazito tuliyapata hapa nakumbuka jamii forum ilianza kupoteza heshoma yake baada ya vijana wa lumumba kujisajili walifanya hivyo kwa kazi maalumu.

Baada ya kushindwa hoja wakataka ifungiwe.
Kabisa mheshimiwa.
 
Naomba kujua forum kubwa kama jamii forum katika nchi za Kenya na Uganda
 
Na hapa ni mahali salama kutoa maoni yetu, facebook na whatsapp ilikuja kuileta changamoto wengi wakakimbilia huko lakini naona sasa wanarudi
 
Back
Top Bottom