Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Mtoa mada na wewe huwa hakuna tofauti sababu kila mmoja anavutia kwake
Wewe huwa unaamini mwanaume ndo mwenye makosa na unawatetea sana wanawake bila kujali makosa yao, huo ndo u feminist wenyewe. Kama ungekuwa una balance you could have had a point
Huyo hajielewi, utapoteza muda wako tu.
 
Kunywa soda nalipa
 
Itaje hiyo hospitali tuelekeze wagonjwa wakafanyiwe IVF huko.
 
Hawa vijana wanaotoa hovyo bikra ni wakukamatwa kabisa .
Hata mimi hilo nasapoti, kama mtu ni bikra afu Huna mpango wa kumuoa, usimharibu, we endelea kuchovya haya magume gume used.
 
Hata mimi hilo nasapoti, kama mtu ni bikra afu Huna mpango wa kumuoa, usimharibu, we endelea kuchovya haya magume gume used.
Ni bora tuwe na huruma ,kuna binti hapa naongea naye mpaka analia ,jamaa kamtindua halafu kaenda kuoa mwingine...Binti anazeeka kwao mpaka anaogopa wanaume 🥲.

Kwa vile tunakosea sana ,hii laana itamkuta hata mwanae huko mbeleni.
 
Umeongea ukweli. Ukiachana na suala la dini tukiongelea katika hali ya maisha ya kikaaaida tu. Kupata full package inaweza kuwa ngumu lakini ukiachana na suala la bikira ambalo ilo ni hauwezi kui-install ni lazima umkute nayo mwanamke, vigezo vingine vya submissive na productive unaweza kuvi-install ndani ya mwanamke kwa kumwekea standards na limitations kwenye mahusiano yenu. Wanawake wana kawaida ya kumjaribu mwanaume sasa ukishindwa kutegua mitego yao hapo ndio mwanzo wa kupoteza heshima yako
 
Mkuu niende wapi nchi hii nikampate bikra?
Bikira wapo mkuu inategemea na circle yako. Fanya mawindo kanisani, tengeneza network na familia zenye misingi ya maadili mazuri, ongea na wazee wakusaidie kupoint familia za kwenda kuchumbia n.k
 


Hakika Mkuu haiwezekani kupata mwanamke mwenye package zote ila nafikiri bikira Ndio hatua ya kwanza kwa mwanaume kupata mke mwenye Hekima, kwa uzoefu wangu mwanamke bikira ni rahisi kupanda maono ya MUNGU ndani ya moyo wake na yakachipua na kukua na kustawi na mwisho kuzaa matunda


Kwa lugha nyepesi moyo wa Mwanamke bikira ni ardhi yenye rutuba ambayo inauwezo mkubwa sana wa kustawisha mazao ila hiyo ardhi haiwezi kustawisha mazao pekee yake inahitaji mpanzi ambaye ni mwanaume mwenye mbegu njema, b'se kiasili mwanamke ni ardhi na mwanaume ni mpanzi hivyo mwanamke anahitaji mbegu tu ili azalishe mazao, na Sio mbegu tu Bali mbegu njema ukipanda mbegu mbaya kwa mwanamke atazalizha mabaya zaidi kwani yeye ni ardhi anahitaji mbegu tu then aizalishe hiyo mbegu kwa wingi kama ilivyo shambani unapanda mbegu moja zinatoka nyingi


Ardhi ya msichana ambaye Sio bikira kiukweli haina rutuba B'se uwepo wa Mungu unakuwa umeshaondoka ndani yake kikamilifu hivyo ni ngumu mno mbegu kustawi na kukua na kuzaa matunda katika hiyo ardhi
 
Huo ni mtazamo wako pia hatupingi,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…