Ijue katiba ya CHAUMMA

Waende tu
Hao washkaji hawanaga hata mia... Watafanyia kampeni Clubhouse au C
Wapokea rushwa mtakuwa na furaha ya muda mfupi tu. Mbowe hana hela ya kuwalisha wajumbe wake wote kwa miaka mitano mfululizo . Mo Dewji mwenyewe tajiri namba moja Tanzania hana hela za kuchezea hivyo kugawa gawa bure.Mbowe anamuiga Samia ila ajue Samia huwa hatumii hela zake, Samia ana dola na kodi za wananchi.

Kuna mahali atakwama huko mbeleni. Mbowe angejikita kutengeneza mifumo bora badala ya kutegemea kuwapa rushwa wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…